Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ukitaka kunitesa kwenye ndoa niambie kuwa nitumie withdraw method!🙂🙂🙂Akakitoe kimemkataa in short Hakuna njia salama ya uzazi wa mpango cha msingi tumieni condoms au withdraw ni Nzuri na mtakuwa na uhakika wa kupata mimba ingine pindi mtakapohitaji
Mi siwezi kwanza ile kitu raha yke ule hivyo bhanaaa weweeeeee[emoji39] [emoji125] [emoji125]Hivi unaweza kutumia cndm ukiwa na mumeo?
Mm nkivaa cndm dudu haisimamiMi siwezi kwanza ile kitu raha yke ule hivyo bhanaaa weweeeeee[emoji39] [emoji125] [emoji125]
Mimi ni kaka yenu nina mpenzi tumefanikiwa kupata mtoto ambaye tunataka kabla ya mwingine kupatikana huyu awe ni mkubwa angalau miaka mitatu.Sasa katika kuitimiza ahadi hiyo wifi yenu aliwekewa kile kipandikizi pale kwenye mkono.Sasa tumbo linamsumbua sana na ugonjwa hauonekani.Pia kichwa ndo usiseme.Ajabu huu ni mwezi wa 10 hajaona siku zake.Akina dada nishaurini nini nifanye haraka.Maana alivyo mpaka ninaogopa.Upande wenu nyie huwa inakuwaje?
TumsameeUmefanya vibaya mno kutubagua sisi Wanaume wenzio katika hili Mkuu kwani kuna wengine tunajua tatizo na tiba stahiki kwa Shemeji yetu ila kwakuwa Wewe humu JF umewaona tu akina Dada na Mama ukiamini kuwa watakusaidia basi ngoja na sisi Wanaume tuuchune ili uzidi kumpoteza Mpenzi wako na pengine unaweza sasa ukatushirikisha sisi Wanaume wenzio humu JF kuja kumchimbia Kaburi na kumbebea Jeneza lake na kumuhifadhi Kazi ambayo naamini akina Dada na Mama hao hawatathubutu kuifanya / kuikabili.
Siku nyingine mnapokuwa na tatizo la msingi acheni kubagua utoaji wa maoni yake kwani unaweza ukajikuta unawakwaza Watu na ukakosa msaada mkubwa tena wa bure tu ambao hata hukuwaza hata siku moja kuja kuupata. au umetubagua hivi kwakuwa sisi hatublidi na hatununui pedi labda? Nakutakia uuguzaji mwema wa Mpenzi wako Mkuu.
Duh mkuu una maneno makali mnoUmefanya vibaya mno kutubagua sisi Wanaume wenzio katika hili Mkuu kwani kuna wengine tunajua tatizo na tiba stahiki kwa Shemeji yetu ila kwakuwa Wewe humu JF umewaona tu akina Dada na Mama ukiamini kuwa watakusaidia basi ngoja na sisi Wanaume tuuchune ili uzidi kumpoteza Mpenzi wako na pengine unaweza sasa ukatushirikisha sisi Wanaume wenzio humu JF kuja kumchimbia Kaburi na kumbebea Jeneza lake na kumuhifadhi Kazi ambayo naamini akina Dada na Mama hao hawatathubutu kuifanya / kuikabili.
Siku nyingine mnapokuwa na tatizo la msingi acheni kubagua utoaji wa maoni yake kwani unaweza ukajikuta unawakwaza Watu na ukakosa msaada mkubwa tena wa bure tu ambao hata hukuwaza hata siku moja kuja kuupata. au umetubagua hivi kwakuwa sisi hatublidi na hatununui pedi labda? Nakutakia uuguzaji mwema wa Mpenzi wako Mkuu.
TATIZO NI KWAMBA NYIE MMESHAJIHUKUMU!MIMI NIMEONYESHA TOKEA MWANZO KUWA WANAWAKE NDIYO WAATHIRIKA WAKUBWA WA NJIA HIZO.NA HUO NI UKWELI AMBAO WANAUME WENYE BUSARA LAZIMA TUKUBALITumsamee
Tumsamee
Mkuu hilo wengi tunalo usihukum wewe tupe notes bwanaAwasubiri hao hao akina Dada na Mama aliowataka yeye Mkuu kwani sisi wengine tukimjibu tutakuwa kama vile tunajipendekeza kama siyo hata kujikomba Kwake. Wewe unaumwa au una tatizo fulani kubwa halafu unabagua watoaji ushauri na tiba. Na bahati mbaya hadi hivi katika wote waliomjibu hakuna ambaye kampa jibu au tiba sahihi ya tatizo la Mkewe na nimuhakikishie tu kuwa Mimi najua Demu wake amekumbwa na nini na najua dawa gani tena ya Miti Shamba tu ambayo nikimwelekeza Mti au Jani lipi akachume na ampe anapona mara moja na anaanza kublidi kama kawaida na hatokuja kuugua tena. Sipendi Mtu anayebagua Watu wakati ana shida ya Kutukuka. Na Mimi nauchuna / naunyuti tu sasa japo najua atadanganywa na atapoteza Hela nyingi mno wakati hili ambalo ningemwambia kama akitumia Hela nyingi basi ni Tsh 800/ tu au 1,000/. Akitaka nimsaidie abadili Headline yake haraka sana ili tulioachiwa Mikoba na akina Bibi na Babu zetu tuweze kutiririka sasa hivi na kumsaidia.
Duh mkuu una maneno makali mno
Mkuu hilo wengi tunalo usihukum wewe tupe notes bwana
Sasa mbona kama unapenda ligi basi tumia wewe na mwenzioWangojeni akina Dada na Mama zenu watawajibia kwani sisi wengine hatublidi wala hatutumii pedi sasa ya nini tushoboke wakati tumeshatengwa kama si kubaguliwa na headline?
KAA KIMYA!!!Okay kwakuwa mimi sio mama wala dada basi ngoja nisiseme kitu
Achana naye bwana huyu hajaoa bado ndio wale wanashinda kutwa kutafuta rafiki na baadaye mkeKAA KIMYA!!!
Sio wote wanaotumia hizi njia za uzazi wa mpango,.ww fata ushauri tuu na mpeleke akatolewe hivo vitu bwana,.tumieni njia zingine salama.Nashukuru kwa ushauri,ila ninaomba mnielimishe nyie upande wenu ilikuwaje?Maana mimi ni mgeni wa mambo haya!!!!
Kula nyama nyamazaKAA KIMYA!!!
Kula nyama nyamazaKAA KIMYA!!!