Awasubiri hao hao akina Dada na Mama aliowataka yeye Mkuu kwani sisi wengine tukimjibu tutakuwa kama vile tunajipendekeza kama siyo hata kujikomba Kwake. Wewe unaumwa au una tatizo fulani kubwa halafu unabagua watoaji ushauri na tiba. Na bahati mbaya hadi hivi katika wote waliomjibu hakuna ambaye kampa jibu au tiba sahihi ya tatizo la Mkewe na nimuhakikishie tu kuwa Mimi najua Demu wake amekumbwa na nini na najua dawa gani tena ya Miti Shamba tu ambayo nikimwelekeza Mti au Jani lipi akachume na ampe anapona mara moja na anaanza kublidi kama kawaida na hatokuja kuugua tena. Sipendi Mtu anayebagua Watu wakati ana shida ya Kutukuka. Na Mimi nauchuna / naunyuti tu sasa japo najua atadanganywa na atapoteza Hela nyingi mno wakati hili ambalo ningemwambia kama akitumia Hela nyingi basi ni Tsh 800/ tu au 1,000/. Akitaka nimsaidie abadili Headline yake haraka sana ili tulioachiwa Mikoba na akina Bibi na Babu zetu tuweze kutiririka sasa hivi na kumsaidia.