Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500


Kuna wakati unahisi mtu kuangukia pua. Mwijaku amezidi mdomo. Hata kwenye mambo magumu ambayo shetani mwenyewe anakimbia mbali kukwepa ushahidi
 
Baba levo ukimsikiliza kwa makinu utagundua sio mwehu kama anavyotaka tumuone,ile huwa ni mikakati tu.

Sasa huyo jamaa mwijaku yuko serious sana na neno kujichetua.
 
Nguvu anazotumia Masoud kujisafisha ni nyingi sana dhidi ya hii tuhuma. Imagine Mwijaku alikwisha omba radhi openly.

Najaribu KUFIKIRI nje ya Boksi. Panafuka moshi panaficha moto. DCEA muko wapi?
 
Ngoja sasa lifungwe jela likafir**we na wafungwa huko jela akili zilirudie. Kubwa jinga!
 
Baba levo ukimsikiliza kwa makinu utagundua sio mwehu kama anavyotaka tumuone,ile huwa ni mikakati tu.

Sasa huyo jamaa mwijaku yuko serious sana na neno kujichetua.
Ushamba nao unachangia, kwanza huyo mkewe kashamkabidhi kwa Ally?
Mke wake akiwa serious anachukua ghorofa, aende kumshtaki kwa kumdhalilisha.!!
 
Penye tajiri lazima mpambe au chawa awepo, hata katika wafalme wa zamani walikuwa na machawa wao.....kazi ya watu kama kina mwijaku huwezi kuiona kwa hao matajiri kwa haraka haraka, wanatumika kirahisi kujua privacies za matajiri wengine kwa wengine (habari za tajiri muulize masikini)....
 
Amevuka mipaka kwa kumchafua mtu brand reputation, huwezi toa tuhuma kirahisi rahisi kwa kudeligates wazi kuwa mtu fulani ambaye ni public figure anauza drugs......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…