Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Maoni ya baadhi ya watu ni kwamba Mwijaku huenda akasaidiwa kumaliza kesi na vigogo serikalini kwasababu ya uchawa wake kwao
Najaribu kujiuliza, hawa viongozi wanaomuendekeza huyu Mwijaku anafaida gani kwao?
Mwijaku anaushawishi gani kwa vijana ambao una tija kwao na kwa jamii?
Hao vigogo wanaomlinda wanaitakia mema nchi yetu kweli? Vitendo vingi anavyofanya Mwijaku ni vya kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu
Nilishangaa hata nilipoona Mtaka naye anamtaja Mwijaku kwa kumsifia eti kisa kamjengea nyumba Mama yake.
Kwani hata mashoga nao si wanapata pesa? Malaya pia si wanapata pesa? Wakijenga nyumba kwa pesa za ushoga, umalaya, rushwa, madawa nk tuwasifie na kuhamasisha vijana kuwaiga?
Inafikirisha sana
Masoud Kipanya akomae na hii kesi kwasababu makampuni au taasisi za kimataifa anazofanya nazo kazi au anaweza kupata kazi kwenye moja ya taasisi kubwa, halafu akawa disqualified kwa maneno yaliyowahi kusemwa na mpuuzi mmoja tu.
Naamini shida yake kubwa sio hizo pesa kwasababu yeye mwenyewe anajua hawezi kuzipata, shida yake kubwa ni mahakama imsafishe na kufuta kilichosemwa kiutaratibu kwa ajili ya kulinda brand yake leo na kesho