Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

Hii kesi itayeyuka tu. Miaka ya zamani Ruge alimbana pabaya Shigongo kwa kumwandika vibaya kwenye magazeti yake na kweli Shigongo ilikuwa inakula kwake ila JK akaimaliza juu kwa juu. Na kwa jinsi Mwijaku alivyo karibu na vigogo hii kesi haitafika popote.
Labda serikali imlipe KP kwaniaba ya mwijaku ..... Kikwete aliwabudu kwakuwa wanaccm watupu
 
Atakukuta wapi sasa jina lenyewe unatumia Id fake? Toka hadharani kamanda ili tulinusuru taifa na hawa wapiga dili haramu
Hatari, kwahiyo ngada au meno ya tembo?
Jamaa hakuropoka tu bila sababu aliropoka kitu ambacho kipo sema alichokosea ni kuropoka bila ushahidi na ndo hapo jamaa atamnyongea ila alichokisema hajasingizia.
 
Ile kuomba msamaha kwa Bw. Mwijaku ni ushahidi tosha na ushindi kwa Mr. KP

Acha mwijaku awajibishwe akili imrejee kipanya ni akili kubwa na kielimu mwijaku hajaelimika pamoja na kufika chuo uchoko mwingi sana! (Maskini akipata)
 
Jamaa hakuropoka tu bila sababu aliropoka kitu ambacho kipo sema alichokosea ni kuropoka bila ushahidi na ndo hapo jamaa atamnyongea ila alichokisema hajasingizia.
Wewe umesema una ushahidi ulete hata hapa jf kwa hiyo hiyo Id fake, upload mambo kama picha, secret docs n.k ili umwokoe Mwijaku otherwise huo utakuwa umbeya
 
Jamaa hakuropoka tu bila sababu aliropoka kitu ambacho kipo sema alichokosea ni kuropoka bila ushahidi na ndo hapo jamaa atamnyongea ila alichokisema hajasingizia.
Itabidi niifuatilie hii movie nione mwisho wake... inaonekana itakua tamu sana huko mbele
 
Kama kweli KP anapiga hizo mishe na anapata fedha mbona mzee wake anaishi a very humble life pale Kijitonyama karibu na shule ya sekondari??
 
Back
Top Bottom