jike la simba
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 494
- 347
Wameongeza watazamaji wa kuiangalia hii katuni na kufikiria maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yowe kijana unatutafuta
Hilo sanamu ni Mawenzi Market FC?Mimi ningekataa na kusema ni timu ya Yanga inajifua huko morogoro baada ya kukosa pesa za kambi na vifaa kwenda uturuki!!!
Sawa mkuuUsiogope tafsiri tu hi
yo
Inasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena
View attachment 838020
Hivi bado huyu kipanya hajatekwa mpaka muda huu ?Inasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena
View attachment 838020
Kwani kuchora kuhusu michezo ya ngumi sio maendeleo, mbona vijana wengi tu wamejiajiri kwenye mchezo wa ngumi.Tunamshauri tu msanii aepuke matatizo yasiyo ya lazima. Mnamshangilia sasa, kuumia ataumia mwenyewe wala hamtakuwepo. Kwa nini mnamdanganya mtu. Si ukae kimya tu. Lazima uchangie? Msimjibie acheni ajibu mwenyewe. Kama wenzako wanakwazika yeye kula hata nyama, Mtume Paulo alisema "Sitakula nyama kamwe". Namfahamu Kipanya. Ni msanii mzuri, mshereheshaji mzuri ni mwezeshaji mzuri wa masuala ya kijamii. Bora angeiweka sanaa yake ku-address masuala mengi ya kijamii na maendeleo. Aiweke kuelimisha jamii juu ya mambo mengi tu yenye tija kuliko mapambano ya kisiasa. Kuna maeneo mengi ya kuiweka sanaa yake hiyo adimu. Kwa mfano anaweza kuwafikia vijana walio na vidonda katika nafsi zao na kutumia sanaa ya uchoraji kuwaletea uponyaji (psycho-social healing). Hiyo imefanyika Ethiopia, Uganda na mahali pengine. Kupambana kisiasa kwa Msanii wetu si mahala pake. Tunamshauri aipeleke mahali panapofaa zaidi. Sio kwenye siasa. Sanaa za kisiasa awaachie wasanii wa kisiasa. Yeye amekwisha jitambulisha na jamii yetu kuwa ni msanii wa kimaendeleo.