Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,028
- 3,241
Okay sawa!!!!
Naomba niwe mgeni wako PM, Avatar yako ni tiketi tosha ya kunifikisha mwambao wa PM yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay sawa!!!!
Anastahili kuwa Guantanamo bay jiweWatanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Mkuu hakuna bluu, labda mimi nina color blindness!Kwenye gloves Kipanya angeongeza na rangi ya blue ili kuonyesha dola [emoji12]
afanye tu kama millard ayo, siku hizi kwenye kurasa zake anapost vitu vya kijinga kijinga...vitu vingine ni kujiongeza.Huyu Kipanya japo anapenda kazi yake ila kwa sasa namshauri angechora Wasanii tu.
You are not free as you think "watch it""Kipanya this is your last warning"
(In jiwe's voice)
Ccm ina timu ya ndondi? Acha uffala weweYanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani lakini anasita. "Alipinda" mikono yake "kisiasa" alipomaliza mbio huko Brazil. Akawaudhi watu kule kwao akashindwa kurudi. Msanii huyu achore katuni za kimaendeleo, kisanaa na kiburdani apate pesa ale na familia yake. Siasa mbaya sana.
Nonsense!!Yanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani lakini anasita. "Alipinda" mikono yake "kisiasa" alipomaliza mbio huko Brazil. Akawaudhi watu kule kwao akashindwa kurudi. Msanii huyu achore katuni za kimaendeleo, kisanaa na kiburdani apate pesa ale na familia yake. Siasa mbaya sana.
Kweli we ni mtoto na watoto wenzio waliokupa likes..yanga wameanza lini kupigana ngumi na gloves mkononi..?Mimi ningekataa na kusema ni timu ya Yanga inajifua huko morogoro baada ya kukosa pesa za kambi na vifaa kwenda uturuki!!!
Marcos Ferdinand yupi unayemzungumzia?! Ni yule yule ambae pamoja na kuanza vizuri lakini akaja kuiacha Ufilipino na mzigo wa madeni ambapo national debt ilipanda mara 10!!!Spain under General Franco, Philippines under Marcos ilikuwa na uchumi mkubwa kuishinda South Korea, Malesia, Thailand. Kenya under Jomo Kenyatta, Tunisia under Burghiba, Saudi Arabia under all kings , NA nyingi zingine
Ondoka tu kuliko kuongeza idadi isiyo na faida humu.Katika ulimwengu wa waliostaarabika matusi hayana nafasi hata kidogo. Tutawaachia JF yenu mtukane mnavyopenda.
Acha ramli chonganishiInasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena