Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,281
#FACTWatanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Utamtoa msukuma shambani, lakini huwezi kuutoa ushamba kwa msukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#FACTWatanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Mmeshawapa utamu kidogo wa kuendelea kuwakandamiza! Uoga wa watanzania ndo unazidi kuwapa morali wameshanogewa. Kwahiyo ishakuwa kama mazoea. Tumerudi nyuma sana kama enzi za ukoloni!Kwanini hii Katuni wasiamini inawahusu Yanga walipocheza na Mawenzi market?
Kama CCM hawajafanya kibaya chochote na wanaungwa mkono 100% na Watanzania wote kama wanavyojitapa basi watuachie sisi raia tutamdhibiti anayeichafua serikali yetu ya Malaika wasiokosea. Ona sasa wanavyojishuku hata kwa vikatuni tu.
Sasa mbona na wewe unamshauri Kipanya ujinga halafu ukiambiwa unasema eti "usitake kila mtu awe kama wewe", mbona wewe unataka Kipanya awe doko kama wewe kwa ushauri wa kisengerema?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Endelea kukereka aliyekwambia mimi Mtanzania nani?
Wewe ambaye hujakataa tamaa endelea kufanya kilicho sahihi kwako usitake kila mtu awe kama wewe.
Usitake uwe kama Mimi huyo Kipanya mnampa kichwa ila akiondoka mtabaki kupiga kelele.Sasa mbona na wewe unamshauri Kipanya ujinga halafu ukiambiwa unasema eti "usitake kila mtu awe kama wewe", mbona wewe unataka Kipanya awe doko kama weewe kwa ushauri wa kisengerema?
Achana nae anajistukia huyoMimi nimesema ni watu gani kwani?
Kuondoka lazima watu wataondoka tu for the sake of our Country. Wewe umeshamwambia mwenzako asikulazimishe uwe na mawazo sawa na ya kwake.Lakini wewe unataka watu wawe na mawazo kama ya kwako. "Tahadhari", ni kutaka kuwa wewe na mawazo kama yako, na "ujasiri" , ndo kama Kipanya sasa.(Food for thought)Usitake uwe kama Mimi huyo Kipanya mnampa kichwa ila akiondoka mtabaki kupiga kelele.
Hamjui kati ya Tahadhari na Ujasiri.
Maumivu ya mwiba husikika pale palipo jeruhiwa, hamtakuwa na Msaada wowote kwa Kipanya zaidi zaidi mtaanzisha Vuguvugu la kelele mitandao tu.Kuondoka lazima watu wataondoka tu for the sake of our Country. Wewe umeshamwambia mwenzako asikulazimishe uwe na mwazo sawa.Lakini wewe unataka watu wawe na mawazo kama ya kwako. Tahadhari ni kutaka kuwa wewe, na ujasiri ndo kama Kipanya sasa.(Food for thought)
Inaonekana wewe siyo mpenzi wa somo la historia. Hata jiwe pengine he's lacking that knowledge. A very important aspect for nation's leader. Na kama ni mtupu hapo kama wewe, then alitakiwa awe mtu anayekubali ushauri. Ujuzi wa maganda ya korosho pekee hautoshi kuongoza nchi inayohitaji quite a vast knowledge in ones head, na kama hauna, if you have some leaderships qualities, then utakubali ushauri. As oppose to now with jiwe, where the nation is in a ditch.Maumivu ya mwiba husikika pale palipo jeruhiwa, hamtakuwa na Msaada wowote kwa Kipanya zaidi zaidi mtaanzisha Vuguvugu la kelele mitandao tu.
Inaonekana wewe siyo mpenzi wa somo la historia. Hata jiwe pengine he's lacking that knowledge. A very important aspect for nation's leader. Na kama ni mtupu hapo kama wewe, then alitakiwa awe mkubali ushauri.
Kwani waliompigia wana timu ya ndondi? Kwanini afute? Nini tafasiri yako kwenye hii katuni?Yanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani lakini anasita. "Alipinda" mikono yake "kisiasa" alipomaliza mbio huko Brazil. Akawaudhi watu kule kwao akashindwa kurudi. Msanii huyu achore katuni za kimaendeleo, kisanaa na kiburdani apate pesa ale na familia yake. Siasa mbaya sana.
Angalia bado unalazimishia watu wawe kama wewe!🙂Hizo Historia ambazo ulizisoma na unazitukuza haziwezi kuwa sawa na haya ya sasa.
Dunia inapita kwenye wakati ambao imevua nguo zote na kila mmoja ni kichaa kuliko mwenzake. Kutaka mwenzio awe sadaka ya ukombozi wako ni aibu kama unaona unataka uhuru wa pili ingia barabarani uutafute.
Mtumie na picha ya mamako akuchoreeHuyu Kipanya japo anapenda kazi yake ila kwa sasa namshauri angechora Wasanii tu.
Kwa nn unaamini hivyo ni sii yanga anajifua kwa kandanda?Katuni za Masoud asilimia kubwa zinahusu Siasa kwa upande wa Serikali na Chama Tawala.
Angekubali tu kuwa mjinga anyoshe mikono juu.
Kwani sirikali ina timu ya ndondi? Kwa nn afute? Inatishia amani ya nchi?Yanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani lakini anasita. "Alipinda" mikono yake "kisiasa" alipomaliza mbio huko Brazil. Akawaudhi watu kule kwao akashindwa kurudi. Msanii huyu achore katuni za kimaendeleo, kisanaa na kiburdani apate pesa ale na familia yake. Siasa mbaya sana.
Nani alifaa kuongoza?Watanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Alaaa! Naskia huko kakamega wanakumegaKakamega hakuna Bomoabomoa.
Sasa mfano akizuga hiyo ni Yanga katika mechi ambayo haina msaada si wata flat wenyewe...hahahaInasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena
View attachment 838020
Sikuwahi kumuona sijui picha yake tutapataje.Mtumie na picha ya mamako akuchoree