Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipanya ana watu wanaomzunguka ni Kaka, Baba, Mjomba na Rafiki au Ndugu kwa watu sasa leo usishadadie awe Jasiri katika kile afanyacho ile hali hata ikitokea kapotea au kadhurika hautakuwa na msaada zaidi ya #Hashtag.Wewe una msaada gani zaidi ya kujaza server za JF.
Katuni anazichora ndio ajira yake sasa wewe unamshauri asichore, utamsaidia kutunza familia yakeKipanya ana watu wanaomzunguka ni Kaka, Baba, Mjomba na Rafiki au Ndugu kwa watu sasa leo usishadadie awe Jasiri katika kile afanyacho ile hali hata ikitokea kapotea au kadhurika hautakuwa na msaada zaidi ya #Hashtag.
Usidhani kupiga kelele mbele ya mtutu ni Ujasiri, unaweza kuwa mwendawazimu kama utafurahi mwenzako aingie matatizo kisa ushabiki wako wa Kipuuzi.
Tumia hata ufahamu kidogo kung'amua mambo usiwe kama Mbuzi hata wakati wa kukamulia unapangwa ukae vipi.
Kipanya hategemei katuni kuendeleza maisha yake ile ni sehemu ya Kipaji chake.Katuni anazichora ndio ajira yake sasa wewe unamshauri asichore, utamsaidia kutunza familia yake
Kama wewe ulivo mjinga sioKatuni za Masoud asilimia kubwa zinahusu Siasa kwa upande wa Serikali na Chama Tawala.
Angekubali tu kuwa mjinga anyoshe mikono juu.
Yah kama wewe ulivyokuwa Mpumbavu unadhani unaweza kuwa na ujasiri wa kuleta fujo hata kwa mgambo wa jiji.Kama wewe ulivo mjinga sio
Vp uko period nini mbona povu ghafla?Yah kama wewe ulivyokuwa Mpumbavu unadhani unaweza kuwa na ujasiri wa kuleta fujo hata kwa mgambo wa jiji.
Leta nyodo zako tukate miguu yako kwa Risasi.... Mnajidai mashujaa ile hali mko ndani si mje kujaribu siku moja muone utimamu wa jeshi la polisi.
Pumbavu utaendelea kutembelewa na Msisimko wa ujasiri mwilini ila kamwe hautaweza hata kubeba jiwe kuingia barabarani.Vp uko period nini mbona povu ghafla?
Dada ni Menstrual Period tu inakupa izo mood swings au kuna lingine dada angu?Pumbavu utaendelea kutembelewa na Msisimko wa ujasiri mwilini ila kamwe hautaweza hata kubeba jiwe kuingia barabarani.
Unadhani Kipanya ikitokea amepotea utakuwa na msaada zaidi ya kelele za kusema FreeKipanya mtandaoni!
Hivi yanga imecheza na timu ganiInasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena
View attachment 837454View attachment 837454
Yatamkuta ya MbiseKatuni nzuri sana. Kipanya akaripoti polisi hiyo namba ña tcra tuone yajayo
Sawa kama unajua unapata mimba mapema usiwe unasogelea mabandiko ya wanaume.Dada ni Menstrual Period tu inakupa izo mood swings au kuna lingine dada angu?
Sijaona sababu ya kunimwagia mapovu yote hayo.
Samahani Sana
Guess, It was the wrong time to bring it up!
Katuni zinamlipa sana tu ndio maana anaweka na matangazoKipanya hategemei katuni kuendeleza maisha yake ile ni sehemu ya Kipaji chake.
KSawa kama unajua unapata mimba mapema usiwe unasogelea mabandiko ya wanaume.
Jifunze kupita sio kila ukiona bandiko la mtu lazima uchangie utajikuta una watoto wasio na Baba.
Sawa Tumuombee awe salama sio tumpe kichwa akipatwa na janga atakula na wa kwao.Katuni zinamlipa sana tu ndio maana anaweka na matangazo
Katuni zinazoigusa jamii moja kwa moja kama zile anazochora ndio zinampa umaarufu na ndio maana anapata wadhamini wa kutosha katika kazi zakeSawa Tumuombee awe salama sio tumpe kichwa akipatwa na janga atakula na wa kwao.