Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Walio guswa hawaitakiKatuni ni njema sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walio guswa hawaitakiKatuni ni njema sana.
Sasa akiifuta itasaidia nini, na imeshaenea kila mahali mtandaoniYanga wana timu ya dondi? Acheni mambo yenu. Kama ameambiwa afute aifute tu. Si hakuwa na nia mbaya! Aifute tu. Huo ni uungwana. Kuna mmoja kamshauri humu ajikite na sanaa aache siasa. Siasa ni mbaya sana. "Zinamuumiza" Abutreka huko Misri. Yule mkimbiaji wa Ethiopia kaambiwa arudi nyumbani lakini anasita. "Alipinda" mikono yake "kisiasa" alipomaliza mbio huko Brazil. Akawaudhi watu kule kwao akashindwa kurudi. Msanii huyu achore katuni za kimaendeleo, kisanaa na kiburdani apate pesa ale na familia yake. Siasa mbaya sana.
Sawa hutaniona humuOndoka tu kuliko kuongeza idadi isiyo na faida humu.
Okay poa.Sawa hutaniona humu
Nyapara wa barabara amekwaa post ya juu kuliko zote!😂😂😂Watanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Ukweli ni kuwa alipigiwa simu na Binamu yake ambaye anafanya kazi, idara muhimu sana serekalini.Inasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena
View attachment 838020
Chukua simu yako nenda nayo pale Lumumba makao ya ccm wakakutafsirie. Alafu ulete mrejeshoMimi sijaielewa hiyo katuni, aliyeielewe anijulishe maana yake
Tafsiri ni kwamba ccm wanatumia nguvu nyingi kushinda chahuziInasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena
View attachment 838020
kwa asiyejitambua km ww utanyoosha mikono coz hujui au huna unachokiamini, yaani huna falsafa inayokuongoza. Na hili ni tatzo la vijana wengi wa kitz tena wasomi. Msomi digrii mbili hata PhD lkn ameshikwa akili na mwsnasiasa mbumbumbu kabsa.
kwa asiyejitambua km ww utanyoosha mikono coz hujui au huna unachokiamini, yaani huna falsafa inayokuongoza. Na hili ni tatzo la vijana wengi wa kitz tena wasomi. Msomi digrii mbili hata PhD lkn ameshikwa akili na mwsnasiasa mbumbumbu kabsa.
Umejibu bila kusomaMkuu hakuna bluu, labda mimi nina color blindness!
Uwe tayari kuletewa TRA na UHAMIAJIMimi ningekataa na kusema ni timu ya Yanga inajifua huko morogoro baada ya kukosa pesa za kambi na vifaa kwenda uturuki!!!
Sema na aliyetamka/kuandika haya maneno wakati huo wa uchaguzi.Watanzania tulidanganywa JIWE hakustahili kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi!
Anyooshe kwA lipi hasa....Katuni za Masoud asilimia kubwa zinahusu Siasa kwa upande wa Serikali na Chama Tawala.
Angekubali tu kuwa mjinga anyoshe mikono juu.
Duh hatari!Hapo si amewachora yanga?