Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Sipati picha nin kitatokea after session

yajayo yatakua vituko vya kustajabishad dunia namwonea huruma atakaye mpokea kijiti kazi ya kupanga faili upya
 
Inasemekana watu wasiofahamika wamempigia Kipanya simu kumtaka afute katuni hii kwenye akaunti zake za kijamii, kipanya aliitikia wito na kuifuta lakini baadae alibadilisha mawazo na kuirudisha tena

View attachment 838020

Tuache watanzania wawe wanafikiri kwa mapana kama Kipanya. Vipaji kama hivi vinapaswa kutukuzwa badala ya kuangushwa
 
Kwani kuchora kuhusu michezo ya ngumi sio maendeleo, mbona vijana wengi tu wamejiajiri kwenye mchezo wa ngumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…