Hii Katuni maana yake ni simple sana.
Hao Mbwa ni Marais wa awamu tatu. Wanalinda hiyo mikataba isifunuliwe na mtu yeyote ili kuwa wazi kwa Watanzania wote.
Hizo shingoni ni symbol za kuonyesha Tanzania. Yaani Marais wa Tanzania.
Ha ha ha Hao mbwa watatu ni mihimili mitatu ya nchi Yaan bunge, dola, na mahakama, kuna boxci la mikataba, ambayo ili kuilinda au kuifumua inaitaji mihimili yote ishirikiane, kwa mikataba inahusiano Mkubwa na mihimili mitatu yote kwa ukalibu