B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Oct 4, 2021 #1 Pigisha hata kura ya maoni ulipo au hata katika ulio nao karibu: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kibonzo hapa kina hoja nzito.
Pigisha hata kura ya maoni ulipo au hata katika ulio nao karibu: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kibonzo hapa kina hoja nzito.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 43,973 Reaction score 150,463 Oct 4, 2021 #2 Huyu sio kipanya wameedit.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Oct 4, 2021 Thread starter #3 Lee said: Huyu sio kipanya wameedit. Click to expand... Basi mafundi kweri kweri kwa maana wamecheza mule mule
Lee said: Huyu sio kipanya wameedit. Click to expand... Basi mafundi kweri kweri kwa maana wamecheza mule mule
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,589 Reaction score 35,268 Oct 4, 2021 #4 Wanamuaibisha kipanya, kipanya hayupo open minded kihivyo, kipanya ni great thinker
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Oct 4, 2021 Thread starter #5 Slowly said: Wanamuaibisha kipanya, kipanya hayupo open minded kihivyo, kipanya ni great thinker Click to expand... Una maana hayuko wazi kama huyu aliyeingia kwenye anga za Kingai?
Slowly said: Wanamuaibisha kipanya, kipanya hayupo open minded kihivyo, kipanya ni great thinker Click to expand... Una maana hayuko wazi kama huyu aliyeingia kwenye anga za Kingai?