Kipanya na Katuni hii, aliona Mbali

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Pigisha hata kura ya maoni ulipo au hata katika ulio nao karibu:



Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Kibonzo hapa kina hoja nzito.
 
Huyu sio kipanya wameedit.
 
Wanamuaibisha kipanya, kipanya hayupo open minded kihivyo, kipanya ni great thinker
 
Wanamuaibisha kipanya, kipanya hayupo open minded kihivyo, kipanya ni great thinker

Una maana hayuko wazi kama huyu aliyeingia kwenye anga za Kingai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…