Kipanya: Waandishi wa habari wanasubiri takwimu za covid-19

Kipanya: Waandishi wa habari wanasubiri takwimu za covid-19

Waziri haonekani
Wengi walikuwepo, Sasa wako wapi?
Corona bado nipo, ninapanda kwenye chatiii [emoji444][emoji443][emoji445][emoji2424][emoji344][emoji344][emoji350][emoji449][emoji450][emoji446][emoji441][emoji1623][emoji447][emoji448]
Screenshot_20200518-111324.jpeg


In God we Trust
 
Vipi ile dawa ya Madagascar haifai tena??!!---- gharama na tambo zote za kwenda kuchukua hiyo dawa ni za bure??
Haziwezi kuwa za bure...hujasikia ile' mtoto wangu aliugua corona na amepona' za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom