Wengi walikuwepo, Sasa wako wapi?
Corona bado nipo, ninapanda kwenye chatiii [emoji444][emoji443][emoji445][emoji2424][emoji344][emoji344][emoji350][emoji449][emoji450][emoji446][emoji441][emoji1623][emoji447][emoji448]
Kutumbuliwa kubaya sanaNo more updates
Jr[emoji769]
Usichanganyikiwe Shadeeya , vaa barakoa, jizoeshe kukaa mita mbili kutoka mtu mwingine, sanitize, osha mikono kwa maji tiririka, piga nyungu saaana kisha umuombe Mungu Akunusuru na balaa hili utakua salama saliminDaah!! Ila haya mambo haya. 🤔🤔🤔
Usichanganyikiwe Shadeeya , vaa barakoa, jizoeshe kukaa mita mbili kutoka mtu mwingine, sanitize, osha mikono kwa maji tiririka, piga nyungu saaana kisha umuombe Mungu Akunusuru na balaa hili utakua salama salimin
No more updates, endeleeni kujifukiza na kupiga nyungu!!
Hio dawa ni juice ya mchanganyiko wa Apple na miwaVipi ile dawa ya Madagascar haifai tena??!!---- gharama na tambo zote za kwenda kuchukua hiyo dawa ni za bure??
Haziwezi kuwa za bure...hujasikia ile' mtoto wangu aliugua corona na amepona' za kuambiwa changanya na zakoVipi ile dawa ya Madagascar haifai tena??!!---- gharama na tambo zote za kwenda kuchukua hiyo dawa ni za bure??
Haziwezi kuwa za bure...hujasikia ile' mtoto wangu aliugua corona na amepona' za kuambiwa changanya na zako
Ingekuwa hivyo mzee si malimao na tangawizi vingekuwa vishaadimika sana katika sokoKwahiyo tumedanganywa aliposema; kapona kwa Malimau na Tangawizi??