Ili watafute sababuPolisi waivyokuwa wapumbavu utasikia waandamanaji wanataka kuchinja watu.
Ili usiende kazini au siotatizo trh 8 itakua siku ya weekend hata haitonoga, bora ingeangukia katikati ya wiki
Nishawahi kuwaza hili pia, kwanini viongozi bado wanalifurahia hili kwa kujitokeza mtaani kila inapotangazwa, si ndo wanaendeleza upigaji kwa kujitengea mabilioni ya udhibiti?Nina wasiwasi haya maandamano ya kwenye mtandao ni mradi wa watu kupiga hela za maadalizi ya kuyadhibiti, posho ya kushinda barabarani kwenye siku zote zilizoainishwa, nk
Kwa nini polisi hawaruhusu yafanyike kwa amani?
ndio japo hiyo siku nitakua nyumban, bora ingekua alhamis nipate siku tatu ingekaa poa zaidiIli usiende kazini au sio
Pole sana 😂ndio japo hiyo siku nitakua nyumban, bora ingekua alhamis nipate siku tatu ingekaa poa zaidi