Wananchi wanawatag Polisi kuwajulisha dhamira yao ya kuandamana kwa amani Agosti, 8, 2026 maarufu kama 8/8
Tangazo hili linaonesha sababu za maandano ni
- Kupinga Utekaji
- Kudai kuheshimiwa kwa haki za binadamu na utawala wa sheria
- Kutoa Wito wa mchakato wa katiba mpya
- Kudai Uchaguzi huru na Haki
Pia soma:
TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao
Ikumbukwe kuwa maandamano kama haya yaliitishwa ili kufanyika kwenye 7/7 Mwaka huu wa 2026 ambapo baada ya kuonekana kwa Vipeperushi hivyo kulionekana kuongezeka kwa ulinzi mkali barabarani na maeneo mengine.
Ulinzi huo uliibua maswali na hofu kubwa miongozi mwa wananchi hali iliyoathiri haa watu kujitokeza kwenye viwana vya maoneshoa mbapo kwa mujibu wa TANTRADE kwa Mwaka 2026 Tsh. Bilioni 3.9 ndio yalikuwa mauzo kwenye maonesho hayo hali inayoonesha poromoko kubwa kulinganisha na Mwaka 2025 ambapo yalikuwa Tsh. Bilioni 7.06
Soma:
Mauzo ya Sabasaba yashuka kutoka Tsh. Bilioni 7.06 mwaka 2025 hadi Tsh. Bilioni 3.9 mwaka 2026
Kwa hali hiyo maandamano hayo yalidhibitiwa kwa nguvu kubwa ya hasara kwa Taifa hili.