win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
Kama hawataki sisi tuandamane, basi ni lazima wao waandamane!Wananchi wanawatag Polisi kuwajulisha dhamira yao ya kuandamana kwa amani Agosti, 8, 2026 maarufu kama 8/8
Tangazo hili linaonesha sababu za maandano ni
- Kupinga Utekaji
- Kudai kuheshimiwa kwa haki za binadamu na utawala wa sheria
- Kutoa Wito wa mchakato wa katiba mpya
- Kudai Uchaguzi huru na Haki
Pia soma: TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao
Basi pole, nimenuna 😎pole huku unanicheka 😏,,
sitaki hiyo pole
Nina wasiwasi haya maandamano ya kwenye mtandao ni mradi wa watu kupiga hela za maadalizi ya kuyadhibiti, posho ya kushinda barabarani kwenye siku zote zilizoainishwa, nk
Kwa nini polisi hawaruhusu yafanyike kwa amani?
sio unune ila ni unibembeleze🤭Basi pole, nimenuna 😎
Kama yale maandamano ya tarehe 7/7 waliyapa promo mpaka basi. Gharama walizotumia kujiandaa kwa lengo la kuyazuia wanazijua wao wenue. Hili siyo jambo zuri hata kidogo kwenue uchumi wa nchi.Nishawahi kuwaza hili pia, kwanini viongozi bado wanalifurahia hili kwa kujitokeza mtaani kila inapotangazwa, si ndo wanaendeleza upigaji kwa kujitengea mabilioni ya udhibiti?
Mchumba pole, ntaongea na boss wako akupe likizo fupi ya wiki 😎sio unune ila ni unibembeleze🤭
nitafurahi sana alf ni mpare mwenzio ujue🤣Mchumba pole, ntaongea na boss wako akupe likizo fupi ya wiki 😎
Wananchi wanawatag Polisi kuwajulisha dhamira yao ya kuandamana kwa amani Agosti, 8, 2026 maarufu kama 8/8
Tangazo hili linaonesha sababu za maandano ni
- Kupinga Utekaji
- Kudai kuheshimiwa kwa haki za binadamu na utawala wa sheria
- Kutoa Wito wa mchakato wa katiba mpya
- Kudai Uchaguzi huru na Haki
Pia soma: TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao
Ngoja nimsikie Kipetro kikitoa mapovu huko Kisarawe,na huku Darisalama namsubiri mdogo wake Bushiri, ana kialaza kama Bushiri wa kwenye magazeti ya Uhuru wa miaka ile nae akifoka kwenye jiji lake, huku wajeda wakiwa ''tayari kwenye mazoezi ya utimamu''Kama yale maandamano ya tarehe 7/7 waliyapa promo mpaka basi. Gharama walizotumia kujiandaa kwa lengo la kuyazuia wanazijua wao wenue. Hili siyo jambo zuri hata kidogo kwenue uchumi wa nchi.
Acha wehu wa kuongea vitu bila kutafitikwa hiyo mtu akijifungia ndani akatengeneza kipeperushi
akaposti huku jukwaani kuwa amekipata kwenye mtandao wewe una amini kuwa kina uhalisia?
Problem hamuingii road! Mngeingia road mkatukuta nyambafu ninyi!..Bila kuchoka
Ah bc imeisha hiyo, subir taarifa tuunitafurahi sana alf ni mpare mwenzio ujue🤣
Huu ni mradi wa polisi wa vyeo vya chini ili wajiongezee kipato kutoka na uduni wa mishahara yao.Nina wasiwasi haya maandamano ya kwenye mtandao ni mradi wa watu kupiga hela za maadalizi ya kuyadhibiti, posho ya kushinda barabarani kwenye siku zote zilizoainishwa, nk
Kwa nini polisi hawaruhusu yafanyike kwa amani?
Lilisikika nyumbu Moja likijamba puuu puuu pruuuu kupitia mdomoHuu mtiti nishaona unaweza usipoe mpk ccm iondoke.
Mbona sio mfupi?!!!!!nitafurahi sana alf ni mpare mwenzio ujue🤣
Siyo wasiwasi ndiyo akili Yako!!Wewe ni miongoni mwa Watanganyika vibarakaNina wasiwasi haya maandamano ya kwenye mtandao ni mradi wa watu kupiga hela za maadalizi ya kuyadhibiti, posho ya kushinda barabarani kwenye siku zote zilizoainishwa, nk
Kwa nini polisi hawaruhusu yafanyike kwa amani?