Kipeperushi kinachotangaza Maandamano Agosti 8, 2026 chaonekana mtandaoni

Kama hawataki sisi tuandamane, basi ni lazima wao waandamane!
 
Nina wasiwasi haya maandamano ya kwenye mtandao ni mradi wa watu kupiga hela za maadalizi ya kuyadhibiti, posho ya kushinda barabarani kwenye siku zote zilizoainishwa, nk

Kwa nini polisi hawaruhusu yafanyike kwa amani?


Kabisa ni deal ya watu kupata ela za kujifanya kuzuia maandamano
 
Nishawahi kuwaza hili pia, kwanini viongozi bado wanalifurahia hili kwa kujitokeza mtaani kila inapotangazwa, si ndo wanaendeleza upigaji kwa kujitengea mabilioni ya udhibiti?
Kama yale maandamano ya tarehe 7/7 waliyapa promo mpaka basi. Gharama walizotumia kujiandaa kwa lengo la kuyazuia wanazijua wao wenue. Hili siyo jambo zuri hata kidogo kwenue uchumi wa nchi.
 

kwa hiyo mtu akijifungia ndani akatengeneza kipeperushi
akaposti huku jukwaani kuwa amekipata kwenye mtandao wewe una amini kuwa kina uhalisia?
 
Kama yale maandamano ya tarehe 7/7 waliyapa promo mpaka basi. Gharama walizotumia kujiandaa kwa lengo la kuyazuia wanazijua wao wenue. Hili siyo jambo zuri hata kidogo kwenue uchumi wa nchi.
Ngoja nimsikie Kipetro kikitoa mapovu huko Kisarawe,na huku Darisalama namsubiri mdogo wake Bushiri, ana kialaza kama Bushiri wa kwenye magazeti ya Uhuru wa miaka ile nae akifoka kwenye jiji lake, huku wajeda wakiwa ''tayari kwenye mazoezi ya utimamu''
 
Nina wasiwasi haya maandamano ya kwenye mtandao ni mradi wa watu kupiga hela za maadalizi ya kuyadhibiti, posho ya kushinda barabarani kwenye siku zote zilizoainishwa, nk

Kwa nini polisi hawaruhusu yafanyike kwa amani?
Huu ni mradi wa polisi wa vyeo vya chini ili wajiongezee kipato kutoka na uduni wa mishahara yao.
 
Nina wasiwasi haya maandamano ya kwenye mtandao ni mradi wa watu kupiga hela za maadalizi ya kuyadhibiti, posho ya kushinda barabarani kwenye siku zote zilizoainishwa, nk

Kwa nini polisi hawaruhusu yafanyike kwa amani?
Siyo wasiwasi ndiyo akili Yako!!Wewe ni miongoni mwa Watanganyika vibaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ