kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
NyatiYani sawa na kusema kati ya Mamba, Simba na Nyati nani anaweza kukuacha tu ukikutana nae...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NyatiYani sawa na kusema kati ya Mamba, Simba na Nyati nani anaweza kukuacha tu ukikutana nae...
Hapo Kwa mbali at least mchinaKipi bora kati ya kuajiriwa na hawa viumbe watatu?yani yupi ana afadhali?
1.Mchina
2.Mhindi
3.Mswahili
Dooooh, hiki kiswahili cha namna gani Mkuu?! 🤔Kwa experience nimefanyanao kazi
1/ Mchina.
Wapo straight sana na kazi pia mda lazima unzingatiwe.(Mda ni mali) Kwa changamoto hinakuja hupande wetu wa bongo wachache si watu wa kufuata mda ni bola liende, pia si watu wakufuata target za kazi,pia wezetu wanakuja ku investment ukukwetu kwasababu ya cheap labour sas unyonyaji huna anzia juuu (viongozi wetu) mpaka kwa wawekezaji Mchina.
2/Mhindi.na mwalabu
Hawa ni vilevile kama wachina hila Kuna tofauti kidogo hawa wabinafsi,tabia mbovu hasa wanaume kuwa chezea dada zetu,pia mfanyakanzi kubambikiwa kesi kitu Cha kawahida yao hasa Kam una mda mrefu kazini hutafanyiwa nzengwe tuu hili huondoke,.
Note:narudia ni experience yangu nimefanya kazi kwenye viwanda vyao,maduka yao pia nasema bola hufanye kazi mswahili(mangi,mkinga,msukuma) si unawafanyia kazi ngumu mshahara mdogo na hukiwa fanyia nzengwe umehisha like kuhiba jela uwakika hila sisi waswahili hata kama tukinzinguwan huw tunamaliza fresh tuu kama ndugu
Huyo ndio mnyama anayeongoza kuua Binadamu Afrika akifuatiwa na Mamba na KibokoNyati
HayupoKuna mchina anayelipa vizuri mkuu?
hahahahahahahahahahhahahhaha.....Hamna muajiri hapo wewe