Pole sana mkuu Mungu akutangulie ktk hilo, tuendelee kuwaombea pumziko jema wazazi wetu, wapumzike kwa amani, Amina .Mambo ya kuondokewa na mpendwa yaache kama yalivyo. Ujue niliandika maelezo marefu halafu nimefuta maana nimeona yananiumiza. Nilifiwa na baba mwaka 94 nikiwa na miaka 6 picha haifutiki kichwani kwenye yale mazingira mpaka leo.
Mimi nilifiwa na baba yangu miaka 3 iliyopita lakini kama wewe bado sijaweza kumsahau kabisa.Mimi tangu mama yangu afariki imepita miaka 7 lakini bado sijamsahau hadi leo.
Kuna ukweli ndugu.Wakuu naomba kuuliza, Kuna Jambo nimewahi sikia kuwa Kama mzazi wako alifariki na haujatembelea kaburi lake, unaweza usifanikiwe katika mambo yako. Naomba kuuliza kuna ukweli kiasi gani katika jambo hili?
Sawa Mkuu, nashkuru kwa jibu.Kuna ukweli ndugu.
Unapohasi kwenu au kaburi la mzazi wako kuna laana unazipata kutokana na manung'uniko yake huko alipo.
Kumbuka wale marehemu kimwili hatupo nao lakini kiroho tupo nao.
Ukitaka kujua hili fuatilia na ufanye uchunguzi wa wale watu ambao wamepasusa kwao yaani mtu ana miaka 10 au 20 hajaenda kwao maisha yake yapoje utapata jibu.
Unakwenda kupasafisha,unapajengea vizuri juu.Sawa Mkuu, nashkuru kwa jibu.
Kwa hiyo ili kuweka mambo sawa ni mambo gani ya kufanya unapoenda kwenye kaburi lake Mzazi husika?
Nakubaliana nawewe Mzee wangu Mara ya mwisho niliwasiliana nae two days before his death thanks God pia kitabu chake alichonipa kukihariri nilitimiza kwa wakati. Kabla ya hapo aliniambia ukimalize haraka hicho kitabu kisipoisha utajisikia vibaya ....!!! Yani Mimi doh kumbe ndio ananiaga I finnished it one month before he passed away.Kushuhudia na kusikia ni vitu viwili tofauti kabisa kwa hisia za Binadamu,
Kushuhudia jambo kunasisimua zaidi kuliko kulisikia,ndio maana kuna watu wanapoona jambo la hatari likifanyika hufumba macho mpaka jambo lile lipite (Inaweza kua jambo hilo la hatari linafanyika kiuhalisia au kwenye movies)
So,kwangu mimi kusikia ni nafuu kiasi kuliko kushuhudia japo matokeo ya kilichofanyika hua ni yale yale (Kifo)
Tujitahidi kua na mawasiliano na wazazi wetu kwa wale wanaoishi nao mbali kwa sababu mbalimbali za kimaisha,kama huna mawasiliano ya mara kwa mara na mzazi wako na ukaja ukasikia kua amefariki hiyo inauma zaidi kwa aliyefiwa na aliyefariki,imagine mzazi mpaka anaaga Dunia huku ukiwa hujawasiliana nawe kwa muda mrefu,hapo lazima atakufa huku akiwa na masikitiko juu yako,
Dunia isitushughulishe sana tukasahau Wazazi au ndugu,maisha ni kua karibu/kua na mawasiliano na watu wako wa karibu,
If you're giving others more priority than ur own family,then you need to understand that you're heading the wrong way.
Mkuu miaka 40 ya ndoa au ya kutengana? Dah Kama mama aliolewa Tena mzee aliumia zaidi.Pole sana mkuu mimi nilimuuguza mwaka na nusu na nilifanikiwa kuwapatanisha na Mama mzazi baada ya miaka 40 ya kutengana kwao na Mama akawa ndio mpishi wa mzee mpaka umauti unamkuta. Mungu awarehemu wazazi wetu Roho zao zipate pumziko la milele wapumzike kwa amani Amina.
Sawa Mkuu 🙏🙏Unakwenda kupasafisha,unapajengea vizuri juu.
Kwa sisi waislam huwa tunamuita na sheikh anamsomea dua angalau mara moja kwa mwaka.
Mkuu,uislamu hauruhusu kujengea Kaburi,Unakwenda kupasafisha,unapajengea vizuri juu.
Kwa sisi waislam huwa tunamuita na sheikh anamsomea dua angalau mara moja kwa mwaka.
Mkuu,uislamu hauruhusu kujengea Kaburi,
Kingine kumsomea Dua mzazi wako aliyefariki wewe mwenyewe ni bora zaidi kuliko kumuita Sheikh ili yeye ndio amsomee,
Moja ya faida anayoipata mtu aliyefariki ni kuombewa Dua na mtoto/watoto wake,Dua toka kwa mtoto kwenda kwa mzazi wake aliyefariki ina nguvu zaidi katika imani ya Uislamu.
Mkuu Kaburi halijengewi kwa maana kua,siku za mbeleni ardhi ile atakuja kuzikwa mwingine,fuatilia hilo mkuu limeelezwa katika Uislamu,hiyo najua mkuu.
Ila sio watu wote wana elimu hiyo ya kumsomea dua na hapo ndipo huja swala la kumuita sheikh.
Na hapo uliposema uislam hauruhusu kujengea kaburi hebu fafanua vizuri mkuu imeelezwa wapi?
Na je kaburi baada ya kuzika inabidi liachwe tu hivyohvyo miaka yote na udongo utawanyike sasa huoni hapo baadae hilo kaburi litapotea?
Inategemea ukoo wenu unaamini katika mizimu bado?Wakuu naomba kuuliza, Kuna Jambo nimewahi sikia kuwa Kama mzazi wako alifariki na haujatembelea kaburi lake, unaweza usifanikiwe katika mambo yako. Naomba kuuliza kuna ukweli kiasi gani katika jambo hili?
Mtaani mbona wanajengea sema hawaweki kifusi katikati au kusilibaMkuu Kaburi halijengewi kwa maana kua,siku za mbeleni ardhi ile atakuja kuzikwa mwingine,fuatilia hilo mkuu limeelezwa katika Uislamu,
Pia kumsomea dua mzazi wako wala haihitaji elimu kubwa sana,unaweza ukawa unamuombea kila baada ya Salaa zako,kila siku na sio mara 1 kwa mwaka tu,kumuombea kwa Allah ili amrehemu huko alipo.
Shukrani Mkuu...Inategemea ukoo wenu unaamini katika mizimu bado?
Pili marehemu maisha yake alikuwa mshiriki sana katika mambo ya makaburini? Na aliwaosia akifa kaburi lake mlifikirie ( kwa kulikumbuka) au msimuwazie tena maana ameshaenda? N.k
Endapo km majibu ni YES na hujaenda yangu mazishi yapite basi rudi mbio ukapasafishe pia km hukujengea jengea n.k
Ila kama jibu ni NO
Acha na navyo,,, wanasema waache wafu wazike wafu wenzao.