Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,737
Nilimuuguza mama zaidi ya miezi mitatu ile natoka tu jioni saa mbili nikale chochote hapo nje nikamwacha dada mkubwa.
Haikupita dakika 20 akafariki. Japo alikuwa hasemi tena ila mpaka leo naona kama dada aliamua kuchomoa ile oxygen.
Mzazi anauma,
Haikupita dakika 20 akafariki. Japo alikuwa hasemi tena ila mpaka leo naona kama dada aliamua kuchomoa ile oxygen.
Mzazi anauma,