Bad things come in your life to teach you,“is it better to have had something and lost it, or never to have had it?”
- Our Mutual Friend, Charles Dickens.
Ni kher kuwa nacho na ukakipoteza kuliko kutokuwa nacho kwa sabab huwa kuna urahs zaid kukipata ulichokipoteza kuliko ambaye hajawah kuwa nachoKwema bandungu!
KUPOTEZA KITU kunaumiza sana, kutokuwa nacho kunauma zaidi.
Kwa upande wako unadhani kipi bora, uwe na kitu ukipoteze au usiwe nacho kabisa?
HESHIMA MBELE karibuni kwa maoni na mjadala.
Hivyo tyuuhWhy sasa
Bas sawaaOkay well understood nimekupata!
Kifedha ina faida ila isiwe hela ndefu maana huwa hazirudigiIkitokea ukawa na fursa ya kupata kitu afu ukaja ukakipoteza ni vizuri maana kuna funzo unakuwa umelipata