Hii kaliKufilisika kunawezafanya usahau mpaka jina lako!
Bora niwe na flat screen 😎hii mada ingeenda sambamba ma mifano ingependeza zaidi.
Haya wadada uwe na big nyash halafu nyash itoweke au uwe na flat screen since day one?
waifu material lazima awe na salio la kutosha. likiwa la kwenda pia hakiharibiki kitu.Bora niwe na flat screen 😎
Sina kabisawaifu material lazima awe na salio la kutosha. likiwa la kwenda pia hakiharibiki kitu.
sasa hao wanao kufata pm hadi unawafungulia izi watakuwa wanafata nini?Sina kabisa