Kipi cha kuanza pindi unapopata ajira: Kuoa, nyumba, biashara au gari?

Sio tu kazi hata ukipata hela, mtiririko ni huu ukiacha msingi mkuu qmbao ni misosi kinachofata ni mavazi, malazi, kisha makazi, usafiri uje mwisho unless bila usafiri kazi inayokuingizia kipato haiendi vyema

Hapo ndio msingi wa usafiri huja kwanza
 
Nyumba na baadaye biashara.
 
Mkuu kwa tz yetu wewe ni tajiri naomba konekshen
 
Chukua chuma wewe acha ujinga. Nyumba zipo nyingi utapanga. Wanawake wapo wengi utapata pakupumzikia.
Nikiangalia mtaa naona vijana wengi wakipata ajira/biashara ikimpa kipato cha kwanza ni USAFIRI. Mke anafuata baadae ndio nyumba. Ukisubiri ujenge ndio uoe au ununue gari utasubiri sana na hii mishahara ya kuanzia ya Tz.
 
Kalpana ngoja nikuje inbox vile hujasema experience 😄😄
Experience ni kwamba unakuta mmeoana ila mwanume akawa ana anapitia maisha fulani hivi magumu magumu hakuna maendeleo n.k...sasaaa unaweza oa mwanamke vile tuu ametia mguu home kama mke na mume hapo kwny vyumba vyenu 2...ukashangaaa mara paap umepandishwa cheo..mara paap madili nje nje...mnaanza kujenga mara gari yani kunakuwa na mafanikio ya haraka haraka...halafu mkijenga wote mwanamama pia atakua na uchungu wa kile kitu..hata kama hela hatoi yeye lakini akawa anahusika na kusimamia ujenzi..kuangalia nini tuweke wapi na nini kikae wapi...ndo hiko tuu my kaka...
My Sons Legacy
 
Alitaka kuja inbox lakini😆
 
Vyote inategemea mshahara mtu unalipwa mshahara milioni 100 kwa mwezi kampuni za kuchimba mafuta na gesi uarabun za kimataifai kama Engineer

Au wewe unaongelea waanza na mshahara wa laki saba za Tanzania maafisa uajiri serikalini?
 
Okay shukuran shukuran wafundishe vijana masuala
Alitaka kuja inbox lakini😆
Looh! Nisinge enda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…