Kipi cha kufanya unapohisi Kuna kitu kibaya kinaenda kukutokea?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Unapokuwa na wasiwasi wa kutekwa, kuuliwa, kukamatwa na watu wasiojulikana unapaswa kufanya nini?

1. Kuripoti polisi. Swali ni unaripoti kwa muktadha upi ukiulizwa kipi kinakufanya uwe na mashaka ya kutokewa na kitu kibaya utawaambia Nini kama ushahidi? je nikiwaambia hisia zangu zinaniambia Kuna kitu kibaya kitanitokea wataniamini? Ama wataona ni mental case?

2. Kuwapa taarifa watu wako wa karibu. Hivi kumwambia mzazi kuwa unahisi Kuna kitu kibaya kitakutokea si ni kumsababishia magonjwa ya moyo na stress.

3. Kubadilisha ratiba zako. Je kubadilisha ratiba zako kunaweza kukufanya kuwaepuka hao watu I don't think so kama watu wanalipwa kutokana na kukufuatilia watafanya chochote kukupata tu.

Wakuu No body is safe now
 
Hakuna jibu sahihi hapo.
Yote ni sawa na ku bet tu, you can't cheat death.
 
Back
Top Bottom