Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja boy jitihada zako ndo mafanikio yakoNlipanga kufanya project moja matata sikuweza japo target ya kifedha ilifika,katikati mwaka huu ilibidi kufikiria namna ya kuanzisha project nyingine bora zaidi iliyohitaji kiwango kikubwa cha fedha tofauti na mwazo,nakomaa mwakani mapema kabisa nifikie kwenye lengo langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana chiefNi mwaka ulio anza vizuri kwangu, nimepata kazi nzuri sana ila ni mwaka unao isha nikiwa na hofu kuu baada ya kuuza mechi kwa mtu anayesadikika kuwa na maradhi yale.
mpaka sasa naishi kwa hofu, nimeichezea afya yangu kipumbavu sana hadi siamini maana mwezi wa 1 na 5 nilipima ila mwezi wa 8 nakuja uza mechi kibwege mpumbavu mimi.
wakuu tunzeni afya zenu,mawazo niliyo nayo si ya nchi hii
hilo la pili sio lako muombe Mungu atakupa wa kufafana naweMwaka 2019 malengo yalikuwa mawili la kwanza kukuza biashara yangu 98% nimefanikiwa La pili ilikuwa kuoa na kuanzisha familia 0% nimeshindwa vibaya maana mpaka leo hata mchumba sina
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa hongera sana shababimwaka ambao nimefanya sana mapenzi katika maisha yangu toka mwezi wa 2 hadi wa 11 karibu kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app