Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Nlipanga kufanya project moja matata sikuweza japo target ya kifedha ilifika,katikati mwaka huu ilibidi kufikiria namna ya kuanzisha project nyingine bora zaidi iliyohitaji kiwango kikubwa cha fedha tofauti na mwazo,nakomaa mwakani mapema kabisa nifikie kwenye lengo langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja boy jitihada zako ndo mafanikio yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwaka ulio anza vizuri kwangu, nimepata kazi nzuri sana ila ni mwaka unao isha nikiwa na hofu kuu baada ya kuuza mechi kwa mtu anayesadikika kuwa na maradhi yale.

mpaka sasa naishi kwa hofu, nimeichezea afya yangu kipumbavu sana hadi siamini maana mwezi wa 1 na 5 nilipima ila mwezi wa 8 nakuja uza mechi kibwege mpumbavu mimi.

wakuu tunzeni afya zenu,mawazo niliyo nayo si ya nchi hii
pole sana chief
ebu jaribu kusahau kabisa kama uliuza mechi hakika utaishi vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwaka wa neema sana kwangu namshukuru sana Mungu, nimeweza kuhamia kwangu toka kupanga, nimeweza kummiliki kiwanja mjini, pia nimebarikiwa kupata mtoto, sifa na utukufu vikurudie ee Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2019 sitasahau maneno ya huyu Mama
Screenshot_20191231-181702.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom