Kipi kikubwa au kikuu kati ya kitambulisho cha Taifa(NIDA) na passport?

Kama ndivyo, NIDA ni kubwa kuzidi PASSPORT, hivyo ilipaswa kuwa rahisi zaidi kupata passport kuzidi NIDA!
Huwezi kupata passport bila NIDA hivyo ukishapata NIDA kinachotakiwa na wanaokupa Passport kwa mara ya kwanza ni wao tu uwaambie dhima yako / uhitaji wa wewe kusafiri (sababu) ili wakupe hio passport..., hapa issue kuna duplicity of activities na imefanyika hivyo ili watu kuchota pesa
 
Its all about making money wala kulikuwa hakuna haja ya kuwa na majengo ya NIDA kila wilaya issue hio kingekuwepo kiofisi pale UHAMIAJI au RITA ila ndio hivyo mchakato wa kupata passport nao ni chanzo cha mapato kwa nchi na Rushwa kwa wafanyakazi..., Mambo mengi duniani ni Usanii tu...
Mahali pazuri zaidi ambapo NIDA walipaswa kuweka Ofisi zao ni kwenye Hospitali, na kwenye Vituo vya Afya ambako ndiko Kuna Viwanda Vikuu kabisa vya Awali vya Kuwakaribisha Wageni wapya hapa duniani, Wala Siyo huko mitaani ambako Kuna matapeli wengi na Wala rushwa katika kuuza Uraia au vyeti vya Utambulisho wa uraia.

Kila mtoto mchanga anayezaliwa alipaswa kupewa Namba maalumu ya utambulisho ambayo itatumika kama utambulisho wake katika maisha yake yote ya hapa duniani. Mfumo kama huu niliuona katika nchi fulani hivi ambayo niliwahi kuzuru, ni utaratibu mzuri Sana wa utambuzi wa Watu wakiwa bado wadogo Sana ili kuepuka janga la udanganyifu kwenye suala hili la utambuzi wa uraia wa mtu.
 
Nahisi Watanzania wana tabia ya kupenda kufanya hata mambo marahisi kuwa magumu. Ni kama baadhi ya maprofesa wa UDSM miaka ya nyuma walivyokuwa wakisifiana kufelisha wanafunzi wao!

Wakati wa nchi zilizoendelea walipokuwa wakifurahia kuwawezesha wanafunzi wao kufanya vizuri, wenzao wa UDSM walikuwa wakiona fahari kuwafelisha wa kwao!

Hapo ndiyo ujue kuwa digrii haiondoi ujinga!
 
Mahali pazuri zaidi ambapo NIDA walipaswa kuweka Ofisi zao ni kwenye Hospitali, na kwenye Vituo vya Afya ambako ndiko Kuna Viwanda Vikuu kabisa vya Awali vya Kuwakaribisha Wageni wapya hapa duniani, Wala Siyo huko mitaani ambako Kuna matapeli wengi na Wala rushwa katika kuuza Uraia au vyeti vya Utambulisho wa uraia.
Kazi ya Vizazi na Vifo tayari anayo RITA hivyo NIDA wangeweka kakitengo tu huko
Kila mtoto mchanga anayezaliwa alipaswa kupewa Namba maalumu ya utambulisho ambayo itatumika kama utambulisho wake katika maisha yake yote ya hapa duniani. Mfumo kama huu niliuona katika nchi fulani hivi ambayo niliwahi kuzuru, ni utaratibu mzuri Sana wa utambuzi wa Watu wakiwa bado wadogo Sana ili kuepuka janga la udanganyifu kwenye suala hili la utambuzi wa uraia wa mtu.
Na hicho ndio kiwe cheki cha kuzaliwa ambacho kina namba na cheti cha kifo ambacho kitafuta namba ya cheti cha kuzaliwa hio yote RITA anapaswa kufanya...., kuna a lot of duplication ili mradi tu pesa za mlipa kodi zipatiwe kazi ya kuyafanya
 
Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa!

Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya kitambulisho cha taifa na passport ya kusafiria?

Mimi nilifikiri ukishakuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) unapofika uhamiaji kuchukua passport ilikuwa ni kitendo cha kulipia na wao kuchukua tu biometrics zako za alama za vidole(fingerprints) na macho kisha wakuchapishie passport yako hapo hapo. Sielewei kwa nini inahitajika tena kufuata utaratibu ule ule wa kupata NIDA.
Kwani NIDA na Uhamiaji wanaaminiana?
 
Passport sio kitambulisho bali ni hati ya kusafiria...

Huwa kitambulisho ukiwa nchi za ugenini...
 
Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa!

Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya kitambulisho cha taifa na passport ya kusafiria?

Mimi nilifikiri ukishakuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) unapofika uhamiaji kuchukua passport ilikuwa ni kitendo cha kulipia na wao kuchukua tu biometrics zako za alama za vidole(fingerprints) na macho kisha wakuchapishie passport yako hapo hapo. Sielewei kwa nini inahitajika tena kufuata utaratibu ule ule wa kupata NIDA.
Kuna mambo ya checks and balance au huyafahamu?
 
Lakini mkuu unajua maana ya checks and balance? Haiwezi kua katika idara ile ile tena.
Inabidi iwepo kwa sababu hakuna regulations katika upatikanaji wa kitambulisho cha taifa.
 
Una NIDA na bado unajaza fomu za uhamiaji zenye maswali yale yale ya NIDA😂😂😂
 
Wana uji kichwani,nilifata process zote za passport enzi za vitabu.
Tuma maombi enzi hizo napigwa hadithi tu mara filé limepotea.
Badae naondoka kuna dogo kaka hapa inatakiwa laki 1 tu tumalize jambo lako.
Nilitamani nimkabe anipeleke liliko file.
Nikalipa laki nikapewa pass na ni hapo mjini dar ofisi ya uhamiaji.
Ulipeleka nini na nn?
 
Back
Top Bottom