GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwa sababu wanaamini anayetaka kuvuka mpaka ana hela, na kama ana hela ni rahisi kutoa ya maji ili afanikishiwe mambo yake.Sasa kwa nini mtu mwenye NIDA anayeomba passport anatakiwa kupitia mchakato ule ule aliopitia kupata NIDA??
Huwezi kupata passport bila NIDA hivyo ukishapata NIDA kinachotakiwa na wanaokupa Passport kwa mara ya kwanza ni wao tu uwaambie dhima yako / uhitaji wa wewe kusafiri (sababu) ili wakupe hio passport..., hapa issue kuna duplicity of activities na imefanyika hivyo ili watu kuchota pesaKama ndivyo, NIDA ni kubwa kuzidi PASSPORT, hivyo ilipaswa kuwa rahisi zaidi kupata passport kuzidi NIDA!
Mahali pazuri zaidi ambapo NIDA walipaswa kuweka Ofisi zao ni kwenye Hospitali, na kwenye Vituo vya Afya ambako ndiko Kuna Viwanda Vikuu kabisa vya Awali vya Kuwakaribisha Wageni wapya hapa duniani, Wala Siyo huko mitaani ambako Kuna matapeli wengi na Wala rushwa katika kuuza Uraia au vyeti vya Utambulisho wa uraia.Its all about making money wala kulikuwa hakuna haja ya kuwa na majengo ya NIDA kila wilaya issue hio kingekuwepo kiofisi pale UHAMIAJI au RITA ila ndio hivyo mchakato wa kupata passport nao ni chanzo cha mapato kwa nchi na Rushwa kwa wafanyakazi..., Mambo mengi duniani ni Usanii tu...
Nahisi Watanzania wana tabia ya kupenda kufanya hata mambo marahisi kuwa magumu. Ni kama baadhi ya maprofesa wa UDSM miaka ya nyuma walivyokuwa wakisifiana kufelisha wanafunzi wao!Its all about making money wala kulikuwa hakuna haja ya kuwa na majengo ya NIDA kila wilaya issue hio kingekuwepo kiofisi pale UHAMIAJI au RITA ila ndio hivyo mchakato wa kupata passport nao ni chanzo cha mapato kwa nchi na Rushwa kwa wafanyakazi..., Mambo mengi duniani ni Usanii tu...
Kazi ya Vizazi na Vifo tayari anayo RITA hivyo NIDA wangeweka kakitengo tu hukoMahali pazuri zaidi ambapo NIDA walipaswa kuweka Ofisi zao ni kwenye Hospitali, na kwenye Vituo vya Afya ambako ndiko Kuna Viwanda Vikuu kabisa vya Awali vya Kuwakaribisha Wageni wapya hapa duniani, Wala Siyo huko mitaani ambako Kuna matapeli wengi na Wala rushwa katika kuuza Uraia au vyeti vya Utambulisho wa uraia.
Na hicho ndio kiwe cheki cha kuzaliwa ambacho kina namba na cheti cha kifo ambacho kitafuta namba ya cheti cha kuzaliwa hio yote RITA anapaswa kufanya...., kuna a lot of duplication ili mradi tu pesa za mlipa kodi zipatiwe kazi ya kuyafanyaKila mtoto mchanga anayezaliwa alipaswa kupewa Namba maalumu ya utambulisho ambayo itatumika kama utambulisho wake katika maisha yake yote ya hapa duniani. Mfumo kama huu niliuona katika nchi fulani hivi ambayo niliwahi kuzuru, ni utaratibu mzuri Sana wa utambuzi wa Watu wakiwa bado wadogo Sana ili kuepuka janga la udanganyifu kwenye suala hili la utambuzi wa uraia wa mtu.
Yes nida ninayoUnayo NIDA?
Kwani NIDA na Uhamiaji wanaaminiana?Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa!
Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya kitambulisho cha taifa na passport ya kusafiria?
Mimi nilifikiri ukishakuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) unapofika uhamiaji kuchukua passport ilikuwa ni kitendo cha kulipia na wao kuchukua tu biometrics zako za alama za vidole(fingerprints) na macho kisha wakuchapishie passport yako hapo hapo. Sielewei kwa nini inahitajika tena kufuata utaratibu ule ule wa kupata NIDA.
Si kwamba hizo taratibu zilitakiwa zisomane?Utaratibu uliotumia kuipata NIDA ndio utatumia kupata passport.
Kuna mambo ya checks and balance au huyafahamu?Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa!
Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya kitambulisho cha taifa na passport ya kusafiria?
Mimi nilifikiri ukishakuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) unapofika uhamiaji kuchukua passport ilikuwa ni kitendo cha kulipia na wao kuchukua tu biometrics zako za alama za vidole(fingerprints) na macho kisha wakuchapishie passport yako hapo hapo. Sielewei kwa nini inahitajika tena kufuata utaratibu ule ule wa kupata NIDA.
ππππππUliona wapi taasisi za serikali wakitumia akili
Lakini mkuu unajua maana ya checks and balance? Haiwezi kua katika idara ile ile tena.Kuna mambo ya checks and balance au huyafahamu?
Inabidi iwepo kwa sababu hakuna regulations katika upatikanaji wa kitambulisho cha taifa.Lakini mkuu unajua maana ya checks and balance? Haiwezi kua katika idara ile ile tena.
Ulipeleka nini na nn?Wana uji kichwani,nilifata process zote za passport enzi za vitabu.
Tuma maombi enzi hizo napigwa hadithi tu mara filΓ© limepotea.
Badae naondoka kuna dogo kaka hapa inatakiwa laki 1 tu tumalize jambo lako.
Nilitamani nimkabe anipeleke liliko file.
Nikalipa laki nikapewa pass na ni hapo mjini dar ofisi ya uhamiaji.
Umeelewa hoja ya mtoa hoja?Hupati passport bula kuwa na NIDA number
Vyeti vyote vinavyohitajika kihalali kabisa ila nikahonga ili wafanye kazi.Ulipeleka nini na nn?