Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #21
Duh ila wanawakeπππ dah nimeandika hapa nikamkumbuka jamaa alirudi home patupu mida ya saa 10 jioni, kipindi hiko ameoa kama miezi mitatu nyuma.
Ile kafika home anamwambia waifu kwamba leo nimerudi mtupu, mke akamwambia sasa tutafanyaje tumia Urijali wako. ππ yule jamaa alijiinamia chini kama sekunde kadhaa hivi akainua kichwa na kutoka home anakimbia kuelekea lodi kuseti kibarua hata cha kuingiza sembe la usiku.
Au sio aka kupata au ndio ukaingia chakaAlinitafuta kwenye Math X
In Finding value of X π
πππ huyo jamaa hadi leo ukimwambia 'Baba Laila tumia urijali wako' anakuangalia.. halafu anasikitika.Duh ila wanawake
Mimi ninge muacha kabisaπππ huyo jamaa hadi leo ukimwambia 'Baba Laila tumia urijali wako' anakuangalia.. halafu anasikitika.
Ni zaidi ya miaka 9 sasa na mkewe bado anae.
Au sio aka kupata au ndio ukaingia chaka
ππ kwa kosa gani la kukwambia utumie urijali wakoπMimi ninge muacha kabisa
NzuriNilipata
Ndio tusi kubwa iloππ kwa kosa gani la kukwambia utumie urijali wakoπ
Kabisa na ana takiwa asipindueEx namtafuta nikiwa na kipururu tu
Mi nikionaga msg ya x wangu tu najua kashaishiwa ni kizinga kinafuata..πEx namtafuta nikiwa na kipururu tu
Anataka nimtafute Evwlyn Salt jamanj huyu jamaaHebu lala huko, baridi kidogo tu ushadata.....
Duh uyo mama mjinga sanaX mama mtt wangu ,aliniletea mtt geto na begi la nguo zake zt akiwa na mume wake mtarajiwa Kwenye bajajiπππ,,bwana bwana nikapambana na kijana wangu geto kwetu (uzuri dogo n mtulivu alafu anaishi maishΓ yyt)basi bhan mama yake kaenda uko kaolewa Kwa harusi kaka Kwenye ndoa miezi 8 ππ ananza kututafuta Tena uku miezi nane yt ajawahi kunitafuta kujua chcht kuhusu mtt ,nikasema anijui huyu nikampiga block Kila kona nikasongesha life na dogo ,now ana miaka tisa ...nasikiaga tu mama yake aliachika now day anajipambania uko daresalaam
Ila si una mtafuta ukipata nafasi?Mi nikionaga msg ya x wangu tu najua kashaishiwa ni kizinga kinafuata..π
Sema kweliUno lake jamani uno hatari la mdigo yule
πππNdio tusi kubwa ilo