Kipi kilikufanya umtafute Ex wako au akutafute?

Hee maskini, ukute wewe ndiye mme wake rohoni. Hebu mtafute bibie
 
Alinipenda Kwa maneno na matendo,Yaani alinipenda kupitiliza! Ile mtu anakupenda mpaka unaona kwa macho ya nyamaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Sababu ya kuachana Ni Mimi(dada mwenye wivu wake mjini)So Haikuwa ajabu kuona simu Yake!
Mimi sikupi simu ushike nsjua iyo ndio sababu tu
 
Na si nzurii ,mtu kakuachia alafu anarudii kisa kaachwa uko hyo n matumizi mabaya ya mwili na akilii πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ .
Kabisa mkuu mimi sicheki na ex kwanza wakinitafuta nawaambiaga wamekosea namba
 
Kukisusa ndio nini napenda nielekezwe kwa mfanooo ya pichaaaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…