Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikubali yavunjike kizembe,pambanaBinafsi nasikitika kwa sababu mahusiano yangu mazuri ambayo niliamini yananipeleka kwenye ndoa yanaelekea kuvunjika
Omba pia uwe Kama mke wake sio kukimbilia kuomba mume Fulani huku ww huna vigezo vya kuwa mke.Naomba Mungu anipe mume kama we lol
Hongera mkuu,Njia ni rahis tu.
Kwanza ninaamin bila yeye maisha bado yapo,na uzur hakuna mtu anaeweza kunipa raha bila mm nwenyewe kujipa raha,
Pili nimejifunza kupuuza kero ndogo ndogo ambazo ananiletea,
Kuamin kwamba yeye ndio bora kwangu bt sio muhimu sanaaaa
Kuwadharau wanawake wote wanaojirahis ovyo,na kuamin kwamba ili niwe baba na mume bora napaswa kumuheshim nilienae pamoja na kero zake
Tatu,nmemuaminisha kwamba hela sio kila kitu katika maisha,na nmefanikiwa hilo,uzr ni kwamba hawez taka kitu ambacho sina mpango nacho asilan.
Nne-huwa nmemuhakikishia kwamba sitakupiga asilan ila ukiniudhi sana ctakusemesha kwa mwaka mzima na sitakula chakula unachopika asilani kwa kipind chote hicho,
Namuheshim nankumpenda na nipo huru nae 24/7,,namchekesha kila siku ili kuifanya siku yake iwe bora,
Ktk dunia hakuna mtu anaeweza kukupa moyo,so nmemuelewesha kwamba unapaswa kujipa moyo mwenyewe ila nitakuunga mkono kwa kila jambo jema unalofanya.
Tano-hakuna kutegea kupika anae wahi kurud nyumban ndio ataandaa chakula kufuata ratiba,tuliyojiwekea,hakuna kuona kwamba hii sio kazi yangu na hii ni yake,
Sita-nimemfundisha asiingie kwenye mitego ya kutumia pesa bila kupangilia,so hata ulete kitu kizur na uuze rahis kama hakijapangiliwa kununuliwa hakitanunuliwa asilan,anajua codes zote zangu za kadi zote za benk na simu zote,nami najua zake tena zaid yake.
Saba- Tulipanga tusiwe na tv ndani mpka ndoa ifikishe miaka kumi,ili ule muda wa kuangalia tv tuwe tunaongea wote mipango yetu na watoto,tusipoteze muda sana kwa vitu visivyo na faida.
Nane- tumekubaliana kwamba kila tukiongea kuhusu mipango hakuna kushika simu,maana tunaweza kupoteza tunachokusudia kuzungumza,pia lazima tujitoe ssna kwa wengine wenye mahitaj,lazima kwa mwez tukatembelee wagonjwa hosp,laima tuende kuabudu kila jpili na ni marufuku kuingia bar.
Tisa- Nmemwambia marufuku kua na mashoga,aidha aliesoma nao au majiran sababu najua madhaifu ya watto wa kike wakikolea kwa mashoga. Sijawah kumtuhumu ujinga ujinga au ana mahusiano mengine nje sababu tumejifunza kupuuza visivyo na maana. Cz najua ubaya wa kutuhumu sumu yake ikikolea sitamwamini kwa lolote.
Kumi- Namuheshim,namsikiliza, namwombea,namuunga mkono simkatishi tamaa,simjibu vibaya,nampenda na kumjali km navyojijali mimi. Nikinywa soda njian lazima nitachukua take away moja na kuweka kwa beg nitampa akitoka kazin,ndio nilivyojiwekea mm na mke wngu. Na sio kwamba hua hatupishani kauli,bt tunazungumza kwa upole na kumaliza na kujitahid kusahau.
Awww she is so lucky..[emoji176]Njia ni rahis tu.

Well said Madame...Kumpenda na kumjali sana
Kumpa good sex, kila anapohitaji
Kumpikia, nipike mimi sio mtu mwingine
kuwa mama wa familia namaanisha mama kweli (ni mama kwa mme na watoto, mme nae kama mtoto wangu tu, unajua vile mama akiwa home kila kitu kinakua sawa)
Kukubali tofauti (unywaji wake sio kero kwangu ila tu iwe na kiwango, badala ya kununa akinywa, akiwa idle namnunulia kabisa (namfurahisha)
Kuepuka vi ugonvi visivo na kichwa wala miguu (kukaa kimya, kujishusha)
Kujiweka fresh, msafi sijiachii mwili mwili kitambi hata kuzaa sio sababu ya kufuga kitambi
Na vingine vingi
Wakuu,
Ningependa tujadili hili suala. Eti, kwa upande wa nyie wenzangu, zipi ni siri za nyinyi kuweza kudumu na wenza wenu{mke, mume, mchumba, gal&boyfriend, hawara etc} mpaka dakika hii?
Ngoja waje wenye wapenzi wao tupate maujuzi....
afu umeandika mada nzuri ila SALAMU MBAYA
Haki mwanamke kama huyu nitampenda mpaka naingia kaburiniKumpenda na kumjali sana
Kumpa good sex, kila anapohitaji
Kumpikia, nipike mimi sio mtu mwingine
kuwa mama wa familia namaanisha mama kweli (ni mama kwa mme na watoto, mme nae kama mtoto wangu tu, unajua vile mama akiwa home kila kitu kinakua sawa)
Kukubali tofauti (unywaji wake sio kero kwangu ila tu iwe na kiwango, badala ya kununa akinywa, akiwa idle namnunulia kabisa (namfurahisha)
Kuepuka vi ugonvi visivo na kichwa wala miguu (kukaa kimya, kujishusha)
Kujiweka fresh, msafi sijiachii mwili mwili kitambi hata kuzaa sio sababu ya kufuga kitambi
Na vingine vingi
Niliandika lini tena hizo mambo?!!! Ntakua nilikua nimelewa 😁Haki mwanamke kama huyu nitampenda mpaka naingia kaburini
My loveNiliandika lini tena hizo mambo?!!! Ntakua nilikua nimelewa 😁