xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,134
- 7,338
Mi hua nafurahi na napenda nimfanyie vitu mke wngu ambavyo vitafanya azid kunipenda,ajue kua kapata mume sio mwanaume,nataka wanangu waone nayofanya na wajifunze kdgo kdgo kama mm nilivyojifunza mpka leo hii,
Nakua na furaha mke akinifurahia kwa kila kitu nachofanya,nikim bore ni rahis kusamehe na kusahau,binadam hatujui kesho lakin ikitokea mm sipo au nmetangulia mbele ya haki anisemee mema kwa watoto sio aseme afadhal nmeondoka sasa atapumzika.
Maisha kuish ni wewe kuamua na kuchagua aina gan unayataka,kama mmeiingiza akilini kwamba maisha hayana furaha bila kua na vingi ambavyo pesa inaweza kununua wengi mtafeli. Sio kwamba hatutofautiani lakin ukijifunza kupuuza maudhi walaaa unajionea mukideeee tu