Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

Ccm oyee!!
Wakuu,tukiwa bado tuko kwenye mchakato wa kulishawishi bunge letu tukufu limuongezee Rais Magufuli Muda ili aweze kutawala milele,ningependa tujadili hili suala.
Eti,kwa upande wa nyie wenzangu,zipi ni siri za nyinyi kuweza kudumu na wenza wenu{mke,mume,mchumba,gal&boyfriend,hawara etc} mpaka dakika hii?
Kustahmili na kutumia busara kwenye kila jambo..
 
Hahaha nani afe na presha akhuu
Mi na wewe tumetoka mbali,,,nitakufanya malkia chin ya mbingu na juu ya ardhi,hitajuta maisha yako yte yaliyobaki duniani.[emoji16] [emoji16] [emoji16] ,
 
mwanzo umeanza vzr sana ila unaonekana uko week sana kwa wanawake una udhaifu mkubwa sana mkuu uyo binti apo kaongea tuu kawaida ila sidhani kama kamanisha ila ww ushaingiwa na tamaa ya uzinzi dah ila badhi yetu cc wanaume tunazingua sana sametimes mkeo anaonekana anashida sana japo apa unajipamba tuu ww unaonekana unatamaa sana na watoto wa kike lizika na uliye naye mkuu acha tamaa...
 
Uzur ni mtani wngu na anajua kwamba ni mtani.
 
mwanzo umeanza vzr sana ila unaonekana uko week sana kwa wanawake una udhaifu mkubwa sana mkuu uyo binti apo kaongea tuu kawaida ila sidhani kama kamanisha ila ww ushaingiwa na tamaa ya uzinzi dah ila badhi yetu cc wanaume tunazingua sana sametimes mkeo anaonekana anashida sana japo apa unajipamba tuu ww unaonekana unatamaa sana na watoto wa kike lizika na uliye naye mkuu acha tamaa...
Wala hakuna nilichojipamba,maana binadamu hatuoni vitu jinsi vilivyo bali sisi tulivyo. Nijipambe ili nipate nn mfano,ninaish kwa kanuni nilizozichagua na zinazoniongoza...

Kukusaidia ni kwamba nimeifanya akili yangu iuongoze mwili,ila katu mwili wngu hauwez ongoza akili yangu.
 
mwanzo umeanza vzr sana ila unaonekana uko week sana kwa wanawake una udhaifu mkubwa sana mkuu uyo binti apo kaongea tuu kawaida ila sidhani kama kamanisha ila ww ushaingiwa na tamaa ya uzinzi dah ila badhi yetu cc wanaume tunazingua sana sametimes mkeo anaonekana anashida sana japo apa unajipamba tuu ww unaonekana unatamaa sana na watoto wa kike lizika na uliye naye mkuu acha tamaa...
Umemnukuu vibaya mkuu,hyu mtani wangu namfaham vilivyo na wifi yangu namfaham kwa hyo toa shaka hajanitamani
 
Back
Top Bottom