Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

Hahaha uko vizuri kama ni kweli...JITUME MAMA
19553952_481443138874057_4031825016746438888_n.jpg
 
Ccm oyee!!
Wakuu,tukiwa bado tuko kwenye mchakato wa kulishawishi bunge letu tukufu limuongezee Rais Magufuli Muda ili aweze kutawala milele,ningependa tujadili hili suala.
Eti,kwa upande wa nyie wenzangu,zipi ni siri za nyinyi kuweza kudumu na wenza wenu{mke,mume,mchumba,gal&boyfriend,hawara etc} mpaka dakika hii?
upendo, pesa, kujali, kuchukuliana na kuhakikisha unatafuta vitu hivi kwa bidii furaha, amani na upendo ooh mtadumu tu
 
Ni kuvumilia tu.maana hivi viumbe kila siku malalamilo tu
 
Kuna wakati inabidi ujifanye tu mbulula
 
Binafsi nasikitika kwa sababu mahusiano yangu mazuri ambayo niliamini yananipeleka kwenye ndoa yanaelekea kuvunjika

Pole sana yakabidhi mikononi mwa mwenyezi mungu atayanusuru! Swali sana na pia mshirikishe mwenza wako kwenye maombi kila mwanzo na mwisho wa siku husika nna imani yatachipua tena na kusahua matatizo yoote!
 
Kujifanya mpumbavu kupita kiasi ndio kigezo kikubwa kinachonisaidia

Mmh ila inaonekana hyo kuwa mpumbavu kupita kiasi sio choice yako maana ulivoandika mkuu hahha sema utafanyaje ndo ushapenda uyo ni chaguo lako!
 
Mmh ila inaonekana hyo kuwa mpumbavu kupita kiasi sio choice yako maana ulivoandika mkuu hahha sema utafanyaje ndo ushapenda uyo ni chaguo lako!
Ndio hivyo nampenda na kumuacha siwezi ni bora niwe mpumbavu tuu nipate amani ya moyo maisha yasonge.
 
Pole sana yakabidhi mikononi mwa mwenyezi mungu atayanusuru! Swali sana na pia mshirikishe mwenza wako kwenye maombi kila mwanzo na mwisho wa siku husika nna imani yatachipua tena na kusahua matatizo yoote!
Amina sana mkuu naamini yatakaa sawa hata tunapoongea wote tunacheka na kufurahi kana kwamba hakuna tatizo but deep down we have lots of tears only God knows n we know how hard it is anyway we will get there i hope
 
Mimi nakuwaga na huyu baboon wangu on and off kwa kipindi na kipindi. Kinachotufanya tukumbukane au kurudiana ni tabasamu la Kasie.. .. hajawahi niambia ila huwa analimisi tabasamu langu maana huwa namsoma lugha ya macho.

Kasie and her baboon.
 
Nimeamua kujishusha na kumfanya awe 1st kwa kila kitu na 2naenda sawa kabisa...mpaka naona nayy sometimes anaiga mtindo wangu
 
Mshikamano kwenye shida na raha...mazuri na mabaya... Kwenye fujo na amani...
Na
Ushirikiano uliyotukuka kwenye mambo ya kikubwa...
Kutokuwa bahili kwa mwenza wako...



Cc: mahondaw
 
Njia ni rahis tu.

Kwanza ninaamin bila yeye maisha bado yapo,na uzur hakuna mtu anaeweza kunipa raha bila mm nwenyewe kujipa raha,

Pili nimejifunza kupuuza kero ndogo ndogo ambazo ananiletea,
Kuamin kwamba yeye ndio bora kwangu bt sio muhimu sanaaaa
Kuwadharau wanawake wote wanaojirahis ovyo,na kuamin kwamba ili niwe baba na mume bora napaswa kumuheshim nilienae pamoja na kero zake

Tatu,nmemuaminisha kwamba hela sio kila kitu katika maisha,na nmefanikiwa hilo,uzr ni kwamba hawez taka kitu ambacho sina mpango nacho asilan.

Nne-huwa nmemuhakikishia kwamba sitakupiga asilan ila ukiniudhi sana ctakusemesha kwa mwaka mzima na sitakula chakula unachopika asilani kwa kipind chote hicho,

Namuheshim nankumpenda na nipo huru nae 24/7,,namchekesha kila siku ili kuifanya siku yake iwe bora,
Ktk dunia hakuna mtu anaeweza kukupa moyo,so nmemuelewesha kwamba unapaswa kujipa moyo mwenyewe ila nitakuunga mkono kwa kila jambo jema unalofanya.

Tano-hakuna kutegea kupika anae wahi kurud nyumban ndio ataandaa chakula kufuata ratiba,tuliyojiwekea,hakuna kuona kwamba hii sio kazi yangu na hii ni yake,

Sita-nimemfundisha asiingie kwenye mitego ya kutumia pesa bila kupangilia,so hata ulete kitu kizur na uuze rahis kama hakijapangiliwa kununuliwa hakitanunuliwa asilan,anajua codes zote zangu za kadi zote za benk na simu zote,nami najua zake tena zaid yake.

Saba- Tulipanga tusiwe na tv ndani mpka ndoa ifikishe miaka kumi,ili ule muda wa kuangalia tv tuwe tunaongea wote mipango yetu na watoto,tusipoteze muda sana kwa vitu visivyo na faida.

Nane- tumekubaliana kwamba kila tukiongea kuhusu mipango hakuna kushika simu,maana tunaweza kupoteza tunachokusudia kuzungumza,pia lazima tujitoe ssna kwa wengine wenye mahitaj,lazima kwa mwez tukatembelee wagonjwa hosp,laima tuende kuabudu kila jpili na ni marufuku kuingia bar.

Tisa- Nmemwambia marufuku kua na mashoga,aidha aliesoma nao au majiran sababu najua madhaifu ya watto wa kike wakikolea kwa mashoga. Sijawah kumtuhumu ujinga ujinga au ana mahusiano mengine nje sababu tumejifunza kupuuza visivyo na maana. Cz najua ubaya wa kutuhumu sumu yake ikikolea sitamwamini kwa lolote.

Kumi- Namuheshim,namsikiliza, namwombea,namuunga mkono simkatishi tamaa,simjibu vibaya,nampenda na kumjali km navyojijali mimi. Nikinywa soda njian lazima nitachukua take away moja na kuweka kwa beg nitampa akitoka kazin,ndio nilivyojiwekea mm na mke wngu. Na sio kwamba hua hatupishani kauli,bt tunazungumza kwa upole na kumaliza na kujitahid kusahau.
Mkuu namba tano itakukucost one day.

Namba saba ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom