Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

Hongera mkuu,
Mdumu ktk mahusiano yenu.

Kama yupo kama uyu anicheki PM
 
Awww she is so lucky..[emoji176]
 
Well said Madame...
 
Wakuu,

Ningependa tujadili hili suala. Eti, kwa upande wa nyie wenzangu, zipi ni siri za nyinyi kuweza kudumu na wenza wenu{mke, mume, mchumba, gal&boyfriend, hawara etc} mpaka dakika hii?
 
Haki mwanamke kama huyu nitampenda mpaka naingia kaburini
 
"Upendo"

Hili neno limebeba kila kitu mkuu.
8yrs now,tangu nipo form 4(2016)

Upendo ukiisha yajayo😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…