Jamani vitu vingine sio kuwa ni raisin wenu wanapanga ama nani jamani. Just ask why this or that. In your life please learn to begin with why.
Wakati wa korona mafuta yalishuka mpka minus, yaani ulitakiwa yauzwe chini ya buku kwa hapa kwetu.
Mana price per barrel kwa crude oil ilienda mpaka 1$ even 5$ Ila baadaye yalipanda Sana ,Mana yalipotoka minus yalifunguka yakiwa 18$ opening price katika soko la dunia.
Tokea kipindi icho price imekuwa ikipaa tu yaani ni kupaa tu mpaka saivi ppb unacheza 68.++$ .
Cheki graph uone jamani sio kuongea tu. Ila Africa kila mtu ni mtalaamu wa Kika kitu Mana diwani ama mbunge wa STD 7 anamkagua Engineer ama daktari. No professionalism in Africa.
View attachment 1806242View attachment 1806242asante kwa taaruda muhimu.