Kipi kinachopelekea mtu mpaka unakuwa mlevi?

Kipi kinachopelekea mtu mpaka unakuwa mlevi?

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Maana naona vijana wengi wamekuwa walevi wa vilevi mbali mbali kama bangi, mirungi, pombe shisha na nk.

Tatizo ni nini?

20230220_000247.jpg
 
Watu hujidanganya kufata kila neno la biblia kama vipofu, biblia ni maktaba ya vitabu mbali mbali vilivyokusanywa pamoja na kuna baadhi ya vitabu havina uhusiano na Mungu bali ni wanafalsafaa tu na kuna baadhi ya watu waliomo kwenye vitabu hawana mission yoyote kwa niaba ya Mungu, hata kama nabii alitumwa kitu flani inabidi umtuangalie na alichotumwa na si nje ya hapo.

Mungu alishaikaripia sana pombe ina majaribu makubwa na haifai, ila kwa akili ndogo za watu wanaona maneno ya mtu flani alieruhusu kisa kaandikwa tu kwenye biblia basi ana uzito wa kupindisha katazo kuu la Mungu kwa jinsi alivyoikaripia.

Ukionja pombe unajiweka kwenye majaribu maana uwezo wa maamuzi unashuka, mbaya zaidi huwa inashuka chini ndio maana hata mwanamke mwenye msimamo akinywa pombe anaweza kuingiliwa kirahisi sana.

Safari moja huanzisba nyingine
 
Kila jambo na kiasi. Too much of anything is harmful. Hata maji ukinywa kupita kiasi utakuwa bloated na kuchosha figo tu.

Piga mvinyo responsibly.

Nipo around mazee.
 
Hua naumia sana kuona pombe inavyo singiziwa..😪
 
Maana naona vijana wengi wamekuwa walevi wa vilevi mbali mbali kama bangi, mirungi, pombe shisha na nk.

Tatizo ni nini?

Kila mtu na furaha yake aliyoichagua, wengine huwaambii kitu kuhusu Pepsi, wengine Maji ya kunywa, wengine wanapenda kukimbiakimbia kama mbwa, wengine wanapenda kudinywa na kudinya, wengine wanapenda kulala lala muda wote, wengine wanapenda mziki tu, wengine wanapenda kusali sali muda wote kila mtu na furaha yake aliyoichagua kumbuka kufa kupo palepale inategemea Mungu kakufumbia fimbo gani la kifo chako, ukikwepa ukimwi unakufa kwa ajali au COVID 19 au sukari au BP au kiharusi au kansa au unapotea n.k
 
Back
Top Bottom