Kipi Mungu anachoweza kukifanya kikanisaidia?

whiteskunk

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
3,904
Reaction score
9,342
Tukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu.

Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki?

Kuna kipindi niliugua sana nikaomba Mungu sikupona mpaka nilipotibiwa na wahindi. Je wahindi wanamzidi Mungu akili?

Kama ameshindwa kunipa ninachokitaka nikiwa hai, je nikifa atanipa uzima alioahidi?

SWALI: JE, NI KIPI MUNGU ANAWEZA KUNISAIDIA KIKAONEKANA?
 
Mawazo yake si kama yako.
Yeye ni mwelevu zaidi kuliko wewe

Kiufupi yote unayoyaona yanatakiwa kuwa kama yalivyo

Na wakati mungu atamfanyia kila mtu hayo ynayoyasema dunia itakosa maana na hata yeye mwenyewe hatokua na maana tena

Jaribu kutafakari kama kweli unaakili utaelewa na maanisha nini!
 
Je msaada wake ni upi?
 
Tukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu.

Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki?

Kuna kipindi niliugua sana nikaomba Mungu sikupona mpaka nilipotibiwa na wahindi. Je wahindi wanamzidi Mungu akili?

Kama ameshindwa kunipa ninachokitaka nikiwa hai, je nikifa atanipa uzima alioahidi?

SWALI: JE, NI KIPI MUNGU ANAWEZA KUNISAIDIA KIKAONEKANA?

Alichoweza kukifanya kikubwa ambacho wengine hawawezi ni kukuumba wewe na kukupa Hii Dunia uchote utakacho.
 
Hapa tu panatosha kukuelewa kuwa huna akili; hao wahindi walitoka wapi?!!! Walifikaje kwako? Uliomba utibiwe na nani au upone vp ili ujue kuwa ndo maombi hayo yanafanya kazi?!!!
Mi niliomba aniponye yeye kimiujiza sababu anasema ana nguvu, lakini alishindwa
 
Back
Top Bottom