whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
- Thread starter
- #41
Mkuu unapingana na maandiko?Hakuna kitu kama hicho.
Kuomba ni kujipa Faraja tuu lakini ukweli upo kwenye kutafuta, na kufanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unapingana na maandiko?Hakuna kitu kama hicho.
Kuomba ni kujipa Faraja tuu lakini ukweli upo kwenye kutafuta, na kufanya kazi
Mkuu nimeuliza swali, wala sina elimu.Naandika nafuta,naandika nafuta tena ila naomba Mungu kama kuelimika ndio huko kwa kumskosoa yeye basi ni kheri mungu anijaalie huu huu ujinga niliokuwa nao
Kweli kabisa.Mm pia kila kitu nafanya mwenywe sjawah muona mungu akinisaidia
Unampangia kwa hiyo? Chochote utakacho kwa mapenzi yake atakusaidiaTukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu.
Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki?
Kuna kipindi niliugua sana nikaomba Mungu sikupona mpaka nilipotibiwa na wahindi. Je wahindi wanamzidi Mungu akili?
Kama ameshindwa kunipa ninachokitaka nikiwa hai, je nikifa atanipa uzima alioahidi?
SWALI: JE, NI KIPI MUNGU ANAWEZA KUNISAIDIA KIKAONEKANA?
Enlighten mePoor lost soul
Nataka anipe nachotaka kwa wakatiUnampangia kwa hiyo? Chochote utakacho kwa mapenzi yake atakusaidia
Unaomba au unamwamulia..?Nataka anipe nachotaka kwa wakati
Mkuu unapingana na maandiko?
Kwa maelezo yako ni kwamba hawezi kutusaidia vitu ambavyo vinapatikana kwa wengine?Maandiko yapi?
Mimi nakuambia uhalisia wa mambo siongei miujiza hapa. Wengi wanapenda maandiko ya kimiujiza.
Mwanadamu amepewa uwezo wa kufanya kazi na Kutumia Akili na sio kutenda miujiza.
Kuomba Mungu ni kutafuta miujiza, yaani Jambo lililokushinda
Sasa Jambo lililokushinda wewe mwingine halimshindi, mfano Mimi labda sina pesa alafu wewe unazo, siwezi muomba Mungu kitu ambacho ninaweza kukipata Kwa binadamu mwingine.
Labda ndio maana ukaambiwa ombeni nanyi mtapewa lakini ni kuomba binadamu wenzako vile ambacho hauna.
Mfano mwingine ni wewe mwenyewe, ulisema ulikuwa unaumwa Sana nusura tuchangishe rambirambi. Lakini wakatokea Wahindi wakatoa Dawa.
Sasa ulitaka Mungu akusaidie Jambo ambalo Wahindi wanaliweza?😂😂😂
Kwa mfano, waafrika hatuwezi kuomba Mungu atupe teknolojia ya magari, au simu Wakati wapo watu weupe(wazungu na Wachina) wenye uwezo wa hizo teknolojia.
Hivyo tunachoweza kukifanya ni kuwaomba Watu hao watufundishe nasi tuweze kutengeneza hiyo teknolojia. Kama hawataki basi tunaouwezo WA kuzuia baadhi ya malighafi tulizonazo ambazo wanazihitahi Kutoka kwetu.
Mambo yako Hivyo.
Kuomba Mungu sio rahisi kama hivyo. Ni utovu WA adabu tuu.
Kama kaniumba ni lazima anihudumieUnaomba au unamwamulia..?
Kwa maelezo yako ni kwamba hawezi kutusaidia vitu ambavyo vinapatikana kwa wengine?
Na kama Mungu sio wa miujiza je ni kwa njia gani anaweza kudhihirika?
Je nisitarajie chochote kutoka kwa Mungu nikiwa duniani?
AstaghfirullahTukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu.
Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki?
Kuna kipindi niliugua sana nikaomba Mungu sikupona mpaka nilipotibiwa na wahindi. Je wahindi wanamzidi Mungu akili?
Kama ameshindwa kunipa ninachokitaka nikiwa hai, je nikifa atanipa uzima alioahidi?
SWALI: JE, NI KIPI MUNGU ANAWEZA KUNISAIDIA KIKAONEKANA?
hiyo pumnzi nani kakupa?Je msaada wake ni upi?
maombi yako ndo yamefanya ukapata kukutana na hao wahindi wako kama sio Mungu usingekutana naoTukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu.
Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki?
Kuna kipindi niliugua sana nikaomba Mungu sikupona mpaka nilipotibiwa na wahindi. Je wahindi wanamzidi Mungu akili?
Kama ameshindwa kunipa ninachokitaka nikiwa hai, je nikifa atanipa uzima alioahidi?
SWALI: JE, NI KIPI MUNGU ANAWEZA KUNISAIDIA KIKAONEKANA?
Tukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu.
Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki?
Kuna kipindi niliugua sana nikaomba Mungu sikupona mpaka nilipotibiwa na wahindi. Je wahindi wanamzidi Mungu akili?
Kama ameshindwa kunipa ninachokitaka nikiwa hai, je nikifa atanipa uzima alioahidi?
SWALI: JE, NI KIPI MUNGU ANAWEZA KUNISAIDIA KIKAONEKANA?
Point, sasa ikitokea nataka kitu na kuna kikwazo? Mfano nataka tiba na hakuna pesa?😂😂😂
Mungu keshakusaidia ndio maana kuna chochote unachohitaji kwenye Maisha yako.
Ukitaka mabaya yapo, ukitaka mazuri yapo. Ni wewe kuchukua. Ndio maana ya kupewa mamlaka ya kutawala.
Hii nitaiandikia ufafanuzi Kwa mapana zaidi.
Mungu anataka tuheshimiane, tupendane iwe Kwa hiyari au lazima. Ili tutegemeane.
Wewe unapewa hiki, mwingine kile, na Mimi hiki.
Ili tusaidizane, mwingine kapewa uzuri lakini Hana maarifa, mwingine kapewa nguvu lakini hana Upeo wala Akili. Mwingine kapewa karama Hii mwingine Ile.
Wapo wenye karama za kutibu na kutafuta madawa, hao kazi Yao ni utabibu.
Sasa wewe huwezi kumuomba Mungu uponyaji Wakati tayari Mungu alishawapa wenzako uwezo wa kutibu. Nenda katibiwe na matabibu alafu yakiwashinda ndio umfuate Mungu.
Nakupa Mfano WA Musa,
Musa anatumwa na Mungu Aende Kwa Farao, Musa anamuambia Mungu yeye anaulimi mzito hivyo hawezi kuongea.
Badala ya Mungu kumponya Musa na kumfanya aweze kuongea vizuri, yeye anamwambia Musa kuwa atamtumia Kaka yake Haruni Kwa sababu Haruni anaulimi mwepesi.😊😊 Bado hujapata somo hapo.
Musa aliyepasua bahari, aliyebadilisha fimbo kuwa nyoka, aliyebadilisha maji machungu kuwa matamu, aliyeongea na mwamba, na miujiza mingi lakini alishindwa kuufanya Ulimi wake kuwa mwepesi, na hivyo alimtegemea Haruni Kwa kazi hiyo.
Hivyo ndivyo mambo yalivyo Mkuu.
Ndimi, Taikon wa Fasihi, mtoto wa Wakuu wa Tibeli