whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Hapa tu panatosha kukuelewa kuwa huna akili; hao wahindi walitoka wapi?!!! Walifikaje kwako? Uliomba utibiwe na nani au upone vp ili ujue kuwa ndo maombi hayo yanafanya kazi?!!!Kuna kipindi niliugua sana nikaomba Mungu sikupona mpaka nilipotibiwa na wahindi. Je wahindi wanamzidi Mungu akili?
Je msaada wake ni upi?Mawazo yake si kama yako.
Yeye ni mwelevu zaidi kuliko wewe
Kiufupi yote unayoyaona yanatakiwa kuwa kama yalivyo
Na wakati mungu atamfanyia kila mtu hayo ynayoyasema dunia itakosa maana na hata yeye mwenyewe hatokua na maana tena
Jaribu kutafakari kama kweli unaakili utaelewa na maanisha nini!
Nahitaji kufahamu msaada wake ni upi kwangu?Afu wajiona mjanja hapo ulipo
Tukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu.
Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki?
Kuna kipindi niliugua sana nikaomba Mungu sikupona mpaka nilipotibiwa na wahindi. Je wahindi wanamzidi Mungu akili?
Kama ameshindwa kunipa ninachokitaka nikiwa hai, je nikifa atanipa uzima alioahidi?
SWALI: JE, NI KIPI MUNGU ANAWEZA KUNISAIDIA KIKAONEKANA?
Anazo labda tu kapungukiwa na ufahamu juu ya dhana nzima ya kile alichoandika
Naweka alarm inaniamshaKwa hiyo asubuhi unahisi huwa unajiamsha ww mwenyewe?!
Ninazo, jibu swali
Mi niliomba aniponye yeye kimiujiza sababu anasema ana nguvu, lakini alishindwaHapa tu panatosha kukuelewa kuwa huna akili; hao wahindi walitoka wapi?!!! Walifikaje kwako? Uliomba utibiwe na nani au upone vp ili ujue kuwa ndo maombi hayo yanafanya kazi?!!!
HuendaAkili yake iko kwa wahindi
Tukiachana na hayo, je hakuna kingine anachoweza kunisaidia?Alichoweza kukifanya kikubwa ambacho wengine hawawezi ni kukuumba wewe na kukupa Hii Dunia uchote utakacho.
Mkuu hili swala linanitatiza sana, nataka nione nguvu za MunguAnazo labda tu kapungukiwa na ufahamu juu ya dhana nzima ya kile alichoandika
Tukiachana na hayo, je hakuna kingine anachoweza kunisaidia?