Kutakuwa na Chief Security kaka, na huyo nafikiri ndio atakuwa anawajibika kwanguWalinzi wako watahitaji usimamizi toka kwako.
Walinzi wa makampuni usimamizi haukuhusu.
Kama unaweza kusimamia shughuli zako na kuwajibika ipasavyo katika kusimamia ulinzi nakushauri Linda mwenyewe.
Ikitokea umeibiwaa na ikaonekana ni uzembee wa Kampuni nasikia wanahusika kukulipa mali iliyoibiwaa...!! Kama linzi binafsi imekulaa kwakooKutakuwa na Chief Security kaka, na huyo nafikiri ndio atakuwa anawajibika kwangu
Ulinzi ni kitengo nyeti sana, hatuwezi tukaajiri mtu kutoka barabarani kama nikiona ulinzi binafsi unafaa basi Vetting ya uhakika itafanyika kipindi cha kuajiriNianze na walinzi wa kampuni: hawa wanafaa kwa kuwa jambo lolote la hujuma litakalofanywa na mlinzi huyo, pa kuanzia kufuatilia panakuwepo, kuliko mlinzi binafsi akisepa ndiyo imetoka.
Halafu kufuatilia huyo mlinzi wa kampuni analipwaje, wewe siyo suala lako.
Tukija walinzi binafsi, kabla haujamwajiri hakikisha yafuatayo: awe amepitia mafunzo ya awali ya mgambo, upafahamu anakoishi, awe na wadhamini, awe kijana ama umri wa makamo asiwe mzee, awe na uzoefu na mambo ya ulinzi.
Sasa wewe mwenyewe utapiga hesabu zako uone wapi anskufaa.
Pamoja na hapo gharama za kulipa kampuni zinakuwa kubwa na walinzi wanalipwa kidogo hivyo badala ya kufanya kazi kwa ufanisi kinyume na matarajio wanakuwa na misongo ya mawazo hali inayopelekea kufanya kazi chini ya kiwangoUzuri wa third part, wewe huhusiki na ishu yoyote ya mambo ya likizo, uzazi, posho etc etc. Sheria ya mahusiano kazini
Mkuu nakuomba PMUkitaka kazi zako zifanywe kwa ustadi ajiri binafsi lakini hakikisha unawajua vizuri hao unaowaajiri, wafanyie screening ya hali ya juu ikiwemo kujiridhirisha kwa serikali za mitaa wanakoishi hata mabalozi wa nyumba kumi huko wanakotokea na wazamini wawe ndugu wa damu wenye makazi yasiyohamishika na wasaini kutoa ushirikiano au kuwajibika pale ndugu yao atakapofanya mambo ya tofauti yenye uvunjifu wa sheria then walipe vizuri na wape kazi.
Makampuni yananyonya sana, mzee kaajiri binafsi na wanapiga kazi kwa weledi sana tena sana..
Ndo hivyo ambavyo mfumo mzima wa sekta ya ulinzi ilivyo.Kutakuwa na Chief Security kaka, na huyo nafikiri ndio atakuwa anawajibika kwangu
Mkuu kwani akiwa kwenye kampuni hayo matatizo hawayapati mkuu?Uzuri wa kampuni ya ulinzi ukiibiwa, wao wanakuwa responsible. Sasa mlinzi binafsi utamdai nini alafu siku nyingine anaweza asiwepo kwa matatizo mmbakimbali ya kijamii