Kipi ni bora, kuajiri Kampuni ya Ulinzi au kuajiri mlinzi binafsi?

Mkuu mimi nimeshafanya sana kazi za ulinzi, nimefanya kwenye hoteli za kitalii huko Tanga. nimefanya zaidi ya miaka mitatu. tena zile hoteli kubwa ambazo hawapokei wageni wa kawaida tu. na huko kufanya kwangu nimeajiriwa na wazungu 4 tofauti tofauti na wote walikuwa hawataki mtu kutoka hizi kampuni za security .kwa madai kwamba hizo kampuni huwanyonya sana walinzi. na kwenye kuajiriwa kwangu nilikuwa na bahati ya kuwa kiongozi wa wenzangu, kasoro hoteli moja tu nilikuta njemba nyingine akiwa bega kwa bega na mke wa mzungu so nikawa chini yake .

Lakini sijui kama utanikubali kwenye kampuni yako maana mimi ni mmasai na nimeona umesema huwataki wamasai. lkn nikushauri kitu kimoja tu kuhusu wamasai. wamasai ni watu makini sana ukiwalipa vizuri .kwanza sio waoga na sio wepesi kurubuniwa au kushawishiwa na mtu waibe then watoroke. halafu sio watu wanaopenda starehe wakishika vijisenti hutaka off ili wakale bata mjini. so usumbufu wa kuombwa off mara kwa mara sahau ukiwa na wamasai. kwa leo naishia hapa lkn ni better uchukue walinzi binafsi kuliko wa hizo makampuni. wiki hii unaletewa mlinzi mwingine, wiki inayofuata unaletewa wengine. huwezi juwa siku utaletewa mwizi. kila kheri kwenye uchaguzi wako. pia kama upendezwa na mimi naomba kazi niko tayari kufanya kwa moyo wote .
 
Sijamaanisha Wamasai kama kabila, samahani kwa hilo mkuu.

Nilimaanisha wale wanaoilinda na virungu then ukimuajiri mmoja wanageuza kama makazi yao familia nzima ya kimasai au jamaa zao wanageuzia kama sehemu ya kupigia soga na kulala

Nadhani ile comment sikuiweka sawa na nimeeleweka vibaya
 
Kwa uzoefu wangu ajiri binafsi, Hata mimi nimeajiri binafsi japo sio wengi. Wanaokuambia wataiba hiyo ni hulka ya mtu hata wa kwenye Makampuni wanaiba.

Lakini kwenye kampuni wanalipwa kidogo unakuta mlinzi mchafu na kanyong'onyea na njaa hawezi hata kupambana na mwizi au majanga yatokeayo kazini anakuwepo kama shati tu.

Ajiri binafsi halafu hakikisha wana management nzuri nakuhakikishia hutojuta..
 
Sawa boss, naomba kazi. kati ya hao walinzi 20 naomba unihesabu .asante kwa kazi.
 
Kwa uzoefu wangu ajiri binafsi, Hata mimi nimeajiri binafsi japo sio wengi. Wanaokuambia wataiba hiyo ni hulka ya mtu hata wa kwenye Makampuni wanaiba.

Lakini kwenye kampuni wanalipwa kidogo unakuta mlinzi mchafu na kanyong'onyea na njaa hawezi hata kupambana na mwizi au majanga yatokeayo kazini anakuwepo kama shati tu.

Ajiri binafsi halafu hakikisha wana management nzuri nakuhakikishia hutojuta..
Ahsante sana kaka kwa huu ushauri wako
 
Ahsanteni kwa ushauri wenu wakuu
 
ajili mlinzi binafsi anakuwa kama moja ya familia kuliko kukuletea kila siku mlinzi mpya watakuletea wezi wengi wa walinzi ni wezi wametafuta kazi kusoma mazingira kisha waibe.
Nashukuru kwa wazo lako mkuu
 
Broo Bora wa linzi was kampuni hao binafsi wanachongaga na majambazi inje kuja kuiba mfano nimeona walinzi was minala ya simu wanavyo waliza makampuni Wana leseni na ukiibiwa wanakulipa na maudhurio au ufanisi was mlinzi wanafuatilia wao ila usi yatafute makampuni mdogo ambayo hayana uwezo
Unamaanisha kwamba walinzi wanajuana na majambazi?
 
Bos mimi nipo tayari nipe ajira, ila Nssf lazima unichangie ata saizi nije.
 
Ulinzi ni kitengo nyeti sana, hatuwezi tukaajiri mtu kutoka barabarani kama nikiona ulinzi binafsi unafaa basi Vetting ya uhakika itafanyika kipindi cha kuajiri

Na kingine kwa vile wananifanyia kazi, maslahi yao ni muhimu niyajue kwa nature ya mradi ninaoanzisha haiwezekani niwe na mlinzi asiye na uhakika wa kushiba
Upo vizuri sana boss..unajua sana
 
Back
Top Bottom