Unadhani mlinzi akilipwa vibaya atafanya kazi zangu kwa ufanisi?Ni rahisi kuvunja mkataba na kampuni ya ulinzi kuliko kuvunja mkataba na mwajiriwa. Fanya "cost benefit analysis" kama wewe ni mlipaji mzuri basi kuajiri ni ghali zaidi kuliko kuweka kampuni kwa maana ya mwajiriwa haweze fanya kazi siku saba, hawezi fanya kazi masaa 12 bila kudai "overtime", kuna kuumwa, kuna dharura na kuna likizo; vyote hivyo ukiviweka kwenye mizani ni bora kuweka mkataba na kampuni ya ulinzi.
Suala la tofauti kati ya utakacholipa na anacholipwa mwajiriwa wa kampuni ya ulinzi ni "non of your business" kwani kampuni ina "overheads" zake kama magari ya doria, supervisors, management, ofisi, leseni, kodi zinazohusiana na mwajiriwa kama SDL, likizo vyote hivyo unachangiwa wewe mteja.
Pamoja na hapo gharama za kulipa kampuni zinakuwa kubwa na walinzi wanalipwa kidogo hivyo badala ya kufanya kazi kwa ufanisi kinyume na matarajio wanakuwa na misongo ya mawazo hali inayopelekea kufanya kazi chini ya kiwango
Mwisho kabisa naomba kazi bosiMpaka wasiosoma wapo wanajua lugha mkuu tena vizuri tu lugha haijalishi Kama una PHD au la, nadhani utakuwa unachanganya mambo kuona form four hawezi kujua na kutumia hiki kiingereza Cha kawaida.
Hebu tembelea huko makazini, usidhani wanaoandaa report ni wenye masters na PHD, wapo wenye elimu ndogo kulingana na uzoefu wao kwenye fani zao wanaaandaa report nzuri sana
Uzoefu wangu watu binafsi wanaowaajiri walinzi wanawalipa ujira mdogo sana sana sana ni Laki shuka chini. Kwenye kampuni ni TZS 170,000 kwenda juu.Unadhani mlinzi akilipwa vibaya atafanya kazi zangu kwa ufanisi?
Ni rahisi kuvunja mkataba na kampuni ya ulinzi kuliko kuvunja mkataba na mwajiriwa. Fanya "cost benefit analysis" kama wewe ni mlipaji mzuri basi kuajiri ni ghali zaidi kuliko kuweka kampuni kwa maana ya mwajiriwa haweze fanya kazi siku saba, hawezi fanya kazi masaa 12 bila kudai "overtime", kuna kuumwa, kuna dharura na kuna likizo; vyote hivyo ukiviweka kwenye mizani ni bora kuweka mkataba na kampuni ya ulinzi. Suala la tofauti kati ya utakacholipa na anacholipwa mwajiriwa wa kampuni ya ulinzi ni "non of your business" kwani kampuni ina "overheads" zake kama magari ya doria, supervisors, management, ofisi, leseni, kodi zinazohusiana na mwajiriwa kama SDL, likizo vyote hivyo unachangiwa wewe mteja.

Na siajabu umeshaenda pm huko maana nyie ndo wenye makampuni yenu maana naona hpa unavyojipigia debe. Wanyonyaji wakubwa nyinyi!Ni rahisi kuvunja mkataba na kampuni ya ulinzi kuliko kuvunja mkataba na mwajiriwa. Fanya "cost benefit analysis" kama wewe ni mlipaji mzuri basi kuajiri ni ghali zaidi kuliko kuweka kampuni kwa maana ya mwajiriwa haweze fanya kazi siku saba, hawezi fanya kazi masaa 12 bila kudai "overtime", kuna kuumwa, kuna dharura na kuna likizo; vyote hivyo ukiviweka kwenye mizani ni bora kuweka mkataba na kampuni ya ulinzi.
Suala la tofauti kati ya utakacholipa na anacholipwa mwajiriwa wa kampuni ya ulinzi ni "non of your business" kwani kampuni ina "overheads" zake kama magari ya doria, supervisors, management, ofisi, leseni, kodi zinazohusiana na mwajiriwa kama SDL, likizo vyote hivyo unachangiwa wewe mteja.
bugaruu nimemnyonya nani? Ukweli utabaki kuwa ukweli na ili pawepo matajiri lazima pawepo maskini wa kumfanyia kazi tajiri ili azidi kuwa tajiriNa siajabu umeshaenda pm huko maana nyie ndo wenye makampuni yenu maana naona hpa unavyojipigia debe. Wanyonyaji wakubwa nyinyi!
Ina maana hamna taasisi zilizoajiri walinzi binafsi na wanafanya vizuri?Walinzi wa kampuni wanafaa, likitokea jambo kampuni inakuwa responsible. Sisi tulikuwa na Mlinzi wa kawaida, kila kukicha tunaibiwa sijui wezi wanaruka fensi akiwa wapi?
Basi tukamfukuza nahisi yeye alikuwa akishirikiana na wezi, sasa tumeleta walinzi wa kampuni hata usisahau kufunga mlango hakuna kibaka kuiba. Sijaskia mpangaji akilalamika kuibiwa. Tunawalipa laki 550000 wa silaha lazima awe na mwenzake.
Hata Mimi nawaza Kama wewe kakaMimi naamini mlinzi kufanya uhalifu ni kutokana na pesa utakayomlipa, kumjali, kuwa karibu na huruma matatiz yake, kufanya nao vikao kujua yanayowasibu. watafutie sare zao, kuwe na kiongoz wa kuwasimamia toka miongon mwao aliewazid kitaaluma mfn JKT kuwasimamia mgambo. kuwe na routine nzuri za ulinzi sio asubuh mpk usik. wabadilishane lindo kwa maandishi kiongoz akiwepo. ndani ya masaa 24 wabadilishane mara3.
May be zipo ila sisi tumeamua kuchukuwa wa kampuni ili tusinzie vizuri😁Ina maana hamna taasisi zilizoajiri walinzi binafsi na wanafanya vizuri?
Mkuu nimeulizia kampuni nyingi kubwa na za kati Mlinzi mmoja natakiwa nimlipe Tsh 600,000/= mpaka Tsh 900,000/= na zingine zaidi na hizi ndogo Tsh 300,000/= lakini sijavutiwa na hizi ndogo kwa sababu walinzi wao sio smart nadhani ni kwa sababu ya maslahi wanayolipwaNi rahisi kuvunja mkataba na kampuni ya ulinzi kuliko kuvunja mkataba na mwajiriwa. Fanya "cost benefit analysis" kama wewe ni mlipaji mzuri basi kuajiri ni ghali zaidi kuliko kuweka kampuni kwa maana ya mwajiriwa haweze fanya kazi siku saba, hawezi fanya kazi masaa 12 bila kudai "overtime", kuna kuumwa, kuna dharura na kuna likizo; vyote hivyo ukiviweka kwenye mizani ni bora kuweka mkataba na kampuni ya ulinzi.
Suala la tofauti kati ya utakacholipa na anacholipwa mwajiriwa wa kampuni ya ulinzi ni "non of your business" kwani kampuni ina "overheads" zake kama magari ya doria, supervisors, management, ofisi, leseni, kodi zinazohusiana na mwajiriwa kama SDL, likizo vyote hivyo unachangiwa wewe mteja.
Uliza wanaofanya kazi za ulinzi kwa Wahindi wanalipwa shilling ngapi halafu ulinganishe na mshahara wa kampuni ndogo kabisa ya ulinziWapi hiyo mkuu?
Kila la kheri huku nilipo kuna kampuni mpaka za TZS 180,000 per head. Kuna vijana wengi walikuwa wamejitolea JKT ukiwapata hao mradi wako utaenda vizuri.Mkuu nimeulizia kampuni nyingi kubwa na za kati Mlinzi mmoja natakiwa nimlipe Tsh 600,000/= mpaka Tsh 900,000/= na zingine zaidi na hizi ndogo Tsh 300,000/= lakini sijavutiwa na hizi ndogo kwa sababu walinzi wao sio smart nadhani ni kwa sababu ya maslahi wanayolipwa
Nimekaa nimefikiria itakuwaje Kama nikiajiri binafsi nikalipa Tsh 300,000/= au Tsh 350,000/= kwa mlinzi wa kawaida form four/six na mwenye mafunzo stahiki then wawe wanakula kazini kuanzia chai mpaka usiku kwa watakaokuwa shift.
Suala la likizo na matatizo hayo ni mambo ya kibinadamu hayaepukiki..nadhani Kuna ambao Wana kampuni na wameajiri walinzi binafsi nilipenda kupata ushuhuda kutoka kwa hao
Kwa nature ya mradi Hawa watu ndio watakuwa wa kwanza kabisa kukutana na mteja anapoingia pamoja na ulinzi lazma wawe Kama customer care pia na hapa ndio maana nahitaji watu walio na afya, smart na ambao wasio na misongo ya mawazo itokanayo na mwajiri
Kama ni suala la mkabata hayo ni mambo ya kisheria zaidi hata binafsi naamini yanawezekana.
Kwa kile ninachokianzisha mlinzi kwangu ni mtu muhimu sana na naamini nikiwa na Mlinzi asiye na uhakika wa kushiba kazi zangu hazitaenda.
Mambo ya Overtime hapa nadhani sio mlinzi tu ni haki ya mfanyakazi yeyote kulipwa Kama amefanya masaa ya ziada na Hilo la Rotation kazini ni muhimu sana maana huwezi kumfanyia mlinzi kazi siku zote bila mapumziko then utegemee ufanisi..na hayo yote nitayazingatia.
Nitahitaji walinzi zaidi ya 20 wa kuanzia na ndio maana naangalia namna nzuri ya kufanya
Nashukuru kwa mchango wako.
Na hapo utakuta kampuni wanachukua zaidi ya Tsh 600,000/= kwa kichwaKila la kheri huku nilipo kuna kampuni mpaka za TZS 180,000 per head. Kuna vijana wengi walikuwa wamejitolea JKT ukiwapata hao mradi wako utaenda vizuri.
Kwa ushauri wa kikodi na kihasibu tutembelee www.vabusiness.co.tz