Sijamaanisha Wamasai kama kabila, samahani kwa hilo mkuu.Mkuu mimi nimeshafanya sana kazi za ulinzi, nimefanya kwenye hoteli za kitalii huko Tanga. nimefanya zaidi ya miaka mitatu. tena zile hoteli kubwa ambazo hawapokei wageni wa kawaida tu. na huko kufanya kwangu nimeajiriwa na wazungu 4 tofauti tofauti na wote walikuwa hawataki mtu kutoka hizi kampuni za security .kwa madai kwamba hizo kampuni huwanyonya sana walinzi. na kwenye kuajiriwa kwangu nilikuwa na bahati ya kuwa kiongozi wa wenzangu, kasoro hoteli moja tu nilikuta njemba nyingine akiwa bega kwa bega na mke wa mzungu so nikawa chini yake .
Lakini sijui kama utanikubali kwenye kampuni yako maana mimi ni mmasai na nimeona umesema huwataki wamasai. lkn nikushauri kitu kimoja tu kuhusu wamasai. wamasai ni watu makini sana ukiwalipa vizuri .kwanza sio waoga na sio wepesi kurubuniwa au kushawishiwa na mtu waibe then watoroke. halafu sio watu wanaopenda starehe wakishika vijisenti hutaka off ili wakale bata mjini. so usumbufu wa kuombwa off mara kwa mara sahau ukiwa na wamasai. kwa leo naishia hapa lkn ni better uchukue walinzi binafsi kuliko wa hizo makampuni. wiki hii unaletewa mlinzi mwingine, wiki inayofuata unaletewa wengine. huwezi juwa siku utaletewa mwizi. kila kheri kwenye uchaguzi wako. pia kama upendezwa na mimi naomba kazi niko tayari kufanya kwa moyo wote .
Sawa boss, naomba kazi. kati ya hao walinzi 20 naomba unihesabu .asante kwa kazi.Sijamaanisha Wamasai kama kabila, samahani kwa hilo mkuu.
Nilimaanisha wale wanaoilinda na virungu then ukimuajiri mmoja wanageuza kama makazi yao familia nzima ya kimasai au jamaa zao wanageuzia kama sehemu ya kupigia soga na kulala
Nadhani ile comment sikuiweka sawa na nimeeleweka vibaya
Ahsante sana kaka kwa huu ushauri wakoKwa uzoefu wangu ajiri binafsi, Hata mimi nimeajiri binafsi japo sio wengi. Wanaokuambia wataiba hiyo ni hulka ya mtu hata wa kwenye Makampuni wanaiba.
Lakini kwenye kampuni wanalipwa kidogo unakuta mlinzi mchafu na kanyong'onyea na njaa hawezi hata kupambana na mwizi au majanga yatokeayo kazini anakuwepo kama shati tu.
Ajiri binafsi halafu hakikisha wana management nzuri nakuhakikishia hutojuta..
Unamaanisha kwamba walinzi wanajuana na majambazi?Broo Bora wa linzi was kampuni hao binafsi wanachongaga na majambazi inje kuja kuiba mfano nimeona walinzi was minala ya simu wanavyo waliza makampuni Wana leseni na ukiibiwa wanakulipa na maudhurio au ufanisi was mlinzi wanafuatilia wao ila usi yatafute makampuni mdogo ambayo hayana uwezo
Upo vizuri sana boss..unajua sanaUlinzi ni kitengo nyeti sana, hatuwezi tukaajiri mtu kutoka barabarani kama nikiona ulinzi binafsi unafaa basi Vetting ya uhakika itafanyika kipindi cha kuajiri
Na kingine kwa vile wananifanyia kazi, maslahi yao ni muhimu niyajue kwa nature ya mradi ninaoanzisha haiwezekani niwe na mlinzi asiye na uhakika wa kushiba