Kipi ni bora? Tv za mtumba (kutoka zanzibari) au tv mpya ya dukani?

Nina tv inaitwa samyang toka 2016. Inapiga kazi kama kawa. Nilishabadili saket tu tena ilikuwa uzembe wangu wa kumisconect hasi na chanya kwenye betri ya sola. Sometimes haya maflat tv ni matunzo tu.
Nimepita kwenye comments zote, nilikuwa natafuta hiki kitu hapa; safi.
 
Watu hawajui maana ya branding, dunia ilishahama kutoka kwenye Oligopolistic market business na sasa ipo kwenye Multilateral market business, hakuna kampuni inapeleka bidhaa sokoni ili ikae muda mfupi, brands kama Samsung, LG, Hisense, Sony na Panasonic ni za muda mrefu, ndio mana zinaa minika.

Zinaaminikaje?
Imagine brands zilitengeneza TV miaka zaidi ya 15 iliyopita, si lazima itakuwa na mtumba wake? Maana yake lazima uje sokoni, watu wataamini zinadumu kuliko zilizokuja sasa hivi.

Kinachotokea ni nini?
Zitaendelea kununulika, halafu kuna Brands zimeingia hivi karibuni, na hazina miaka hata 7, yaani hakuna mitumba yake. Vole vile, hazijajitangaza sana, hawawezi kuuza kwa bei kubwa.

Mimi mpaka sasa, nimebadilisha TV kama nne, kutoka mwaka 2021, haziharibiki, hapana, ila ni shida tu, ila kuna jirani yangu hapa ana Star X tangu Juni 2018, alinunua mpya, mpaka leo ipo vile vile, hajabadili hata stendi, na nina dada yangu alinunua Hisense mwaka 2021, mwaka jana wakati wa Sensa anahangaikia suala la wino sijui ulianza mstari.


Ni vile tu, watu hawaelewi. Mambo yamebadilika, hayo Matv wanayochukulia Simple yatakuja kuwa ghali siku za usoni.

Ila tu. Usinunue Mtumba. Wanauzia jina, sio ubora.
 
Nimeona nijipige pige niongeze hela nichukue hisense but hata isiyo smart naona ni uhakika tu. Kaka kuna mtu alinambia TV ni matunzo tu but kampuni ni mbwembwe je ni sahii?
Leo imetimiza mwaka wa 13,ni ya kizamani sawa,na imepata misukosuko mingi pia,ila ipo hapo tokea nilipoinunua,haimjui fundi,LG naishukuru sana,ni sehemu ya familia yangu kwa kweli
 

Naomba chimbo la friji
 
Mkuu hiyo panasonic ina frame pana hata haivutii. Na pia isije kuwa plasma ikakulia umeme kama pasi.
Kwa sasa andhan tv zote zinazopatikana kariakoo na maduka ya mtaani ni fake maana haijalishi jina zote ni cheap.
Kwa hiyo
Mkuu kwenye swala la TV sijui lolote lile, nategemea maoni hayo ili mwisho wa siku nijue nafanyaje. Bajeti yangu ni 400k na sijui nichukue TV gani mkuu,..
Kwa hiyo budget si ukanunue Hisense inch 32 Mpya?
 
Ai
Alitop ni unyama Sana hizo TV
 
Mkuu sio alitop tu nimeona tv zote iwe samsung, iwe hisense, sijui iwe jina gani siku hizi zina bei zinafanana. Sijui ni mchina anazalisha wanajipigia chapa tu. Ila mimi ningenunua tu ya dukani nikaachana used
Wanatia chapa tu.
Maana ile label ukiibandua na mkono inabanduka.
Wanakuambia smart 4 kumbe ni box tu nje hakuna kitu.
Ukiwasha resolution inaumbua.
Ukiwauliza wanaleta maneno mengi sana na mwisho wanakuwa wakali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…