Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Nadhani nyingi ni plasmaTV za mtumba zinakunywa umeme hatari, sijajua kwa nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani nyingi ni plasmaTV za mtumba zinakunywa umeme hatari, sijajua kwa nini??
kwa hiyo hela chua hisense au tcl,Mkuu kwenye swala la TV sijui lolote lile, nategemea maoni hayo ili mwisho wa siku nijue nafanyaje. Bajeti yangu ni 400k na sijui nichukue TV gani mkuu,..
Kuna sehemu nimekuta wanauza smart tv tena 4k za mtumba ni nzuri kuliko hizo aborder wanazoita android tvNadhani nyingi ni plasma
Ninayo homebase inch 24 mwaka 4 hizi TV hazina Jina lakini zipo bomba kinomaNimechukua Homebase,mwaka 5 haijawahi sumbua
Ninayo Samsung smart inch 40 nilinunua dukani kariakoo ina miaka 7 sasa haimjui fundi.Tafuta Sony, LG, Samsung dukani utanishukuru
Ila pale kariakoo usiingie duka lolote ingia maduka yale makubwa ya wahindi utanishukuru. Vitu vya kununua mtumba ni deki. Nina deki ninayo nilinunua mtumba mwaka 2008 hadi leo ipo freesshNinayo Samsung smart inch 40 nilinunua dukani kariakoo ina miaka 7 sasa haimjui fundi.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mimi nilinunua LG inch 32 mwaka 2015, mpaka leo 2023 (7 years) ipo na inadunda kama kawa.Acha kumdanganya mwenzio ndugu yangu anauza hizo tv ulizozisifia hapa ila anadai zote ni sawa tu kuna anaenunua hizo Samsung akatumia miezi mitatu habari ikaisha na kuna anaenunua hizo oulling akakaa nayo zaidi ya miaka 4
wachache watakuelewaquality ya picture ya LG/Samsung na hizo takataka za mchina ambazo hata majina hayaeleweki.
Kwahiyo picha za lg,sony,samsung,panasonic zinafanana quality?Mimi nilinunua LG inch 32 mwaka 2015, mpaka leo 2023 (7 years) ipo na inadunda kama kawa.
Pili, huwezi kucompare quality ya picture ya LG/Samsung na hizo takataka za mchina ambazo hata majina hayaeleweki.
Kwahiyo picha za lg,sony,samsung,panasonic zinafanana quality?
Inategemeana na resolution ya hiyo LG/Sony/Samsung, either ni 480p, 1080p(HD), 4k au 8k etc...Kwahiyo picha za lg,sony,samsung,panasonic zinafanana quality?
Haujajibu nimekuuliza hizo aina za tv hizo picha zake zinafanana?Inategemeana na resolution ya hiyo LG/Sony/Samsung, either ni 480p, 1080p(HD), 4k au 8k etc...
Na inategemea pia na technology ya kioo iliyotumia, either ni LCD, LED, Nanocell, Qled, OLED etc
Tv zina variable nyingi sana ambazo wengi ya watumiaji hawazijui.
Nina LG huu ni mwaka wa saba inadunda...Tafuta Sony, LG, Samsung dukani utanishukuru