Kipi ni Faraja yako kubwa Simu, Mke, Mume, Girlfriend, Boyfriend, JF, Pombe, Wazazi au Marafiki?

Kipi ni Faraja yako kubwa Simu, Mke, Mume, Girlfriend, Boyfriend, JF, Pombe, Wazazi au Marafiki?

Ukiwa unahitaji Faraja huwa unakimbilia wapi?

Wengine Wanakimbilia kwa Mama zao au Baba zao.

Wengine kwa wake zao na waume zao.

Wengine wakichart Jamii forum wanapata faraja na kujifunza mengi.

Kila mtu ana sehemu akienda anaenda kupata faraja.

Tupe uzoefu wako.
Nyeto ndo faraja yangu Madem wananizingua kisa sina hela.
 
Mapenee!!

Uboo.

Hivyoo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
POMBE
POMBE
POMBE
inaniharibu kiafya,inantia hasara,inanichafua Kwa jamii yangu

Lakini naipenda
 
Back
Top Bottom